#COVID19 Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo


Kwani kiwango cha kufa cha wasiochanjwa huko kikoje?
 
Naomba Mungu aturehemu na kutuondolea huu ugonjwa wa Corona Duniani
Mpaka tumrudie,tumtambue,tumuamini,tumtegemee yeye peke yake!
Mungu ana wivu,tumemuacha na kutegemea vitu vilivyotengenezwa na mwanadamu sasa anataka kutuonyesha kuwa hatuwezo lolote bila yeye na ndo itakavyokua!
 
Sio Tanzania tu mkuu. Yani nchi karibia zote za Afrika. Sisi ni mazuzu, wajinga, tusojielewa na zaidi ya yote tunaongozwa na tamaa ya mali na utajiri. Yani kiongozi akihongwa dolali yupo tayari kuwaangamiza wate waliopo nyuma yake bila kujali hata kizazi chake

Ebu pima yanayotokea kwa Gwajima sasa hivi na uitathimini akili ya black colour. Yani badala ya kujibu hoja kwa hoja unajib hoja kwa kwa vitisho na ubabe
 
Ujumbe umfikie Gwajima KE, na serikali iache kuwalazimisha watu wote kuchnjwa kwa kuwa ni maisha yao, na watu wanaotoa mawazo mbadla ama kuuliza maswali waachwe wasiwe persecuted. Mwisho wa siku aibu.

WAtu wanaoaminika ni wataalam, wanapita nchi nzima wakihadaa watu kwamba wanajua, chanjo inazuia vifo, ni salama n.k. Leo hii tena wataanza kuimba wimbo kwamba chanjo haitoshi, inakuja ya tatu? Huu ni utaalam wa kisayansi ama utaalam wa kichuuzi?
At least not on human life.


 
Na huku kutaka pesa za bure ndo kuna tucost..... Tozo wameweka lakini bado haitoshi na vya bure vya hawa mbuzi weupe wanavitaka!!! Ukweli wanajua alafu unafiki ni kitu kibaya sana walahi na inatia aibu waziri huyo huyo anabadilika badilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii habari itampa nguvu sana Gwajiboy
 
Mpaka tumrudie,tumtambue,tumuamini,tumtegemee yeye peke yake!
Mungu ana wivu,tumemuacha na kutegemea vitu vilivyotengenezwa na mwanadamu sasa anataka kutuonyesha kuwa hatuwezo lolote bila yeye na ndo itakavyokua!
Najiuliza sana bila kuwa na majibu wakati hawa kenge wanatengeza iyo kirusi walikuwa na lengo gani? Kwann leo inakuwa kama kuvurugana ivi!!!! Ilitakiwa inchi za africa ziungane kama inawezekana na hawa kenge hakuna kuja africa ni bora kula ugali na chumvi kwenye amani kuliko bia na nyama choma vitani!!!...." walitakiwa wasikanyage nchi zetu na sisi hatuendi kwao mpaka wamalizane na ichi kirusi, maana wao ndo wamekileta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imetokana na ushahidi kutoka Marekani na Israel umeonyesha kua chanjo hupoteza uwezo wake ama ufanisi baada ya miezi 6 toka mtu amechanjwa hivyo anahitaji chanjo nyingine ili kuendelea kumpa mtu kinga zaidi.
Hii point nliwahi kuielezea kwenye uzi wangu flan ngoja niutafute
 
Mkuu, kwa taarifa yako, Gwajima hayuko peke yake. Ni afadhali kuacha kumsakama na kuaddress hoja zilizoko mezani. Anaandamwa kwa kuwa yeye ana watu wengi sana nyuma yake. Lakini wenye akili Tanzania si Gwajima peke yake. Tupo wengi sana wenye ufahamu na nia njema. BAdo Mungu ana watu wa kujivunia Tanzania.




Hii habari itampa nguvu sana Gwajiboy
 
Cha msingi ni muungano na kusimamia vitu logic bila kujali vitisho vyao. Mbona hayati Mugabe aliwaweza ilihali alikuwa peke ake?

Lakini sasa ujinga na tamaa vitatumaliza
 
ii imetokana na ushahidi kutoka Marekani na Israel umeonyesha kua chanjo hupoteza uwezo wake ama ufanisi baada ya miezi 6 toka mtu amechanjwa hivyo anahitaji chanjo nyingine ili kuendelea kumpa mtu kinga zaidi.
Nlishawahi kuelezea huko nyuma madhara ya chanjo SOMA UPDATE YA KWANZA KWENYE UZI HUU (===============)

 
Gwajima yupi unamzungumzia???
 
Kwahiyo kila baada ya miezi 6 wadanganyika watatakiwa kukopeshwa chanjo aka booster

Kweli màgufool aliona mbali kufa na kuukwepa mtego wa mabeberu kumsignisha mkataba wa kiman'gungo
 
Mkuu, naona Gwajima anakuhenyesha hadi unakesha unamuota na kumwona yeye tu!. Kwa hiyo kudunda kwa hizi chanjo Gwajima kahusikaje? Huoni kama anakuthibitishieni kwamba hoja zake ni za msingi" Hazijafanyiwa majaribio ya kutosha, hazizuii maambukizi wala vifo:, na sasa zimefeli. Wewe unaona giza gani kwa Gwajima hapof?
Ni upuuzi kumuamini tapeli kama Gwajima...
 
Uwongo mtupu, ukichanjwa na ikatokea umepata corona inakuwa mild au hutapata Corona kali inayoweza kusababisha damu kuganda na kifo...
Ingekua hivyo Marekani isingetoa booster. Booster imekuna baada ya waliochanjwa kufa kwa corona.

Wewe unaishi Dunia ya wapi?
 

Ile form unayosainishwa imemaliza yote hakuna kuwajibishwa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…