Marekani inatuhumiwa kutuma ndege za kijasusi katika maeneo yenye utajiri wa mafuta nchini DRC na Uganda

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha miundombinu ya uzalishaji wa mafuta katika maeneo ya Ziwa Albert, magharibi mwa Uganda.

1733470360237.png
Tukio hilo limeongeza wasiwasi kuhusu uwezekano wa Marekani kuingilia shughuli nyeti za kiuchumi na kijeshi za Uganda, hasa katika maeneo yenye rasilimali muhimu kama mafuta.

==

An alleged US spy plane breached the airspaces of Uganda and Democratic Republic of the Congo (DRC) last month, according to Ugandan media.

The violations were recorded three times on November 14, 15, and 26, Kampala Post reported, citing military sources.

According to the outlet, a Bombardier Challenger 604 aircraft flew over Kasese and Bundibugyo in Uganda and Beni in the DRC.

The aircraft, with the tail number N9191, is leased by the US Department of Defense and is used for surveillance, the outlet added.

It is based out of Djibouti, which houses a US Navy base.

False Permission Sought

The US Defence Attaché’s Office in Kampala had sought permission for the aircraft to transport personnel and cargo to the DRC.

However, a probe was ordered after it never landed at its destination and was spotted making “suspicious maneuvers” in both the countries’ airspaces, Kampala Post wrote.

The “US controllers of the spy aircraft did not bother to even ask the DRC for permission to enter their airspace,” the outlet wrote.

“Instead, it was the Ugandan air traffic controllers who notified the understandably enraged DRC air traffic controllers.”

Both Uganda’s President and the Chief of Military Staff have reportedly been apprised of the matter and the aircraft’s earlier authorization has been revoked.

Source: thedefensepost.com
 
Kwanini wakuangusha chini m7 nae maneno mengi tu uwezo hana
 
Uganda isiwe na wasi wasi, Tanzania kama tulivyomtoa nduki Amini Dada, nae Mmarekani tutamfuta kabisa kwenye uso wa dunia...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom