Marekani:Jason Darulo amshirikisha Rayvanny wa WCB-wasafi kwenye wimbo wake

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Mwimbaji wa marekani Jason Darulo mwenye urefu wa meta 1.84 na hit maker wa Tip Toe alomshirikisha French Montana atataka Rayvvany wa WCB wasafi kushirikishwa kwenye remix ya Tip Toe hivi punde.

Hii dili alipata akiwa marekani kutoa show katika mji uitwao Minneapolis uko marekani.

Na baadhi ya Media zimetoa taharifa hizo kwa ujio wa collaboration hiyo bila kumsahau French Montana atakuwepo kwenye ngoma hiyo remix ya Tip Toe.
 
Naomba uniulizie vyumba vya kupanga uko kwa trump ni dollar ngapi kwa mwaka asee
 
Dogo anakipaji acha atoboe tu....naona muda sio mrefu atamwacha timu mziki mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…