Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
amestaafu ushoga... anakera sana na mambo yake ya ushoga huyo jamaa.
Hapo ndo anaharibu... anakera sana na mambo yake ya ushoga huyo jamaa.
Trump watamkumbuka
Akumbukwe kwa lipi? Wamemtema mpaka potential Republicans wamemtema.Trump watamkumbuka
Kwa uzalendoKwa lipi? Kama angekuwa wa maana si angechaguliwa tena?
Kwa uzalendo,Akumbukwe kwa lipi? Wamemtema mpaka potential Republicans wamemtema.
Kwa uzalendo
Kila mtu akae kwake, ajenge nchi yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uzalendo wa kuamrisha uvamizi wa US Capitol building? Na kufanya ubaguzi wa wazi kabisa kwa wahamiaji? 😳
Kila mtu akae kwake, ajenge nchi yake
Nyumbani kwanza
Duh, kwanza sio kweli, Mimi si mjinga,Acha ujinga! Unajua America inafaidika kiasi gani kutoka kwa wahamiaji katika kuinua uchumi wao? Wewe ni nani hadi uwaamulie Wamarekani kuhusu sera zao za uhamiaji? 😳
Duh, kwanza sio kweli, Mimi si mjinga,
Pili sijui inafaidikaje, na tatu punguza pofuuu sabuni kali, mwisho nimetoa maoni kama mdau tu so usinifosi kukubali yako tu
Sio wote biden wengine team trump
Si nimekwambia mimi sio mjinga? Mbona huelewi?Acha kuandika ujinga ujinga wako wa kuandika maoni potofu bila kujua sera za Nchi husika. Kama hujui kitu uliza badala ya kuonyesha ujinga wako hadharani. Eti team Trump na team Biden? Acha upuuzi wa kuweka mambo ya team ambayo hayahusu kitu. Fungua akili yako.