Uchaguzi 2020 Marekani: Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti yataka Uchaguzi wa Tanzania uwe na uwazi, mchakato huru, wenye haki na amani

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kuelekea uchaguzi baadae mwezi huu nchini Tanzania, kumekuwa na mashambulizi dhidi ya upinzani na sauti za kiraia, kizuizi kwenye vyombo vya habari na mapungufu kwenye uhuru wa wananchi. Kunatakiwa kuwepo uwazi, mchakato huru, wenye haki na amani kuendelea mbele.
=====

Updates from The U.S. Senate Foreign Relations Committee Chairman, Sen. Jim Risch, R-Idaho about elections in Tanzania.

October 3, 2020.

In the lead up to elections later this month in #Tanzania, there have already been attacks on opposition & civic voices, restrictions on the media, & limitations on the freedoms of citizens. There must be a transparent, free, fair, & peaceful process moving forward.

 
Wacha kutetea upuuzi, Magufuli ni mbaguzi na ametamka kwa kinywa chake mwenyewe, msichezee akili za watu, na kura hapati hayo maji anayoringia akanywe mwenyewe.
 
There must be a transparent, free, fair, & peaceful process moving forward.
 
Mwaka huu CCM watatapika, huku wananchi hawataki ujinga, kule wazungu hawataki ujinga, hapa Lissu hataki ujinga, mtakoma na hiyo tume yenu feki.
 
Acha umama huyo jamaa ni mbaguzi na lijizi tu
 
Pompeo atasaidia Chadema kupiga kura [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hawa wanatakiwa wa intervene m kabla mambo hayajaharibika, sio wasubiri tumalizane enti ndio eanakujakusaidia. UN itengeneze team za kimataifa za kusimamishwa chaguzi kote ulinwenguni, ziwe zinakwenda kokote kwenye uchaguzi, zikimaliza nchi moja zinaenda nchi nyingine, hiyo ndio itakuwa dawa ya ving'ang'anizi. TUME YA UCHAGUZI YA UMOJA WA MAIFA.
 
Baba anayeikatili familia dawa yake ni jamii inayozunguka.

Mabeberu tusaidieni huyu dictator hajali haki za watu wake
 
Hakuna Namna Yoyote ya Kumbakisha Magufuli.
.Wazungu hawamtaki.
.Na watanzania wengi hawamtaki.

Magufuli unavuna ulicho kipanda.
KWAHERI MAGUFULI KWAHERI CCM.
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Hayo uliyoyaandika hapo yapo kwa mujibu wa sheria au ni porojo zako binafsi tu?
 
Mbona sisi hatuingilii ya kwao? Trump amesema hataachia madaraka kibabe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…