Alipanda kuelekea wapi au alikua anataka kuvuka upande wa pili?Haya ni moja ya maagizo tuliyoyatoa kwenye kikao kilichofanyika Ijumaa "ASANTE BAHARIA KWA KUTEKELEZA" Tunahitaji nidhamu ya maagizo kwa mabaharia wote tufanye vitu ambavyo havifikiliki na raia yoyote.
Isingepaa uzito wake huyo ungeathiri balance ya ndege ndio mana ilibd wasubiri masaa 4 kuchunguza bawa kama lipo fresh kwa safariNingekua rubani ningepaa nae huyo si anafikiri ni keria ya gari hiyo
Aiseee
Ngonja niende airport nikajaribu na mimi hio kitu .
Sio unakaa nyumban kifala, inatakiwa unakuwa msumbufu Kama huyo
Karibu sana bombadia zipo zakusubiri hiiiiiiiiiAiseee
Ngonja niende airport nikajaribu na mimi hio kitu .
Sio unakaa nyumban kifala, inatakiwa unakuwa msumbufu Kama huyo
Ndio maana hukua Rubani.Ningekua rubani ningepaa nae huyo si anafikiri ni keria ya gari hiyo
Ndege sio gariNingekua rubani ningepaa nae huyo si anafikiri ni keria ya gari hiyo