Hawa jamaa kila Olympics wanazoa medali balaa.
Wamepeleka wanamichezo 600+. Hadi sasa wana medali 101. China ndo inawafuatia.
Hakwenda kiongozi yoyote wa serikali zaidi ya makocha wa kila mchezo.
Wanaoshinda medali wote wanalipwa wakirudi US, kwanini tusijifunze kwao?