Marekani kuinyamazisha Urusi?

Hivi Afrika ikiungani yote tunaweza kumpiga hata korea tu? Maana hata umoja wetu wa Afrika umeshindwa waasi wa kongo tu ambao wanatumia mapanga,majembe na visu kwenye kupigana. Huu umoja wa mchongo sana Tanzania tunaungana na Putin.
 
Ukiongea jambo kuwa na ushahidi sio kuongea kwa ushabiki tu Yani Marekani amuogope kiduku kweli ?kwa uchumi gani alionao kiduku.kushinda vita Huwa inategemea una uchumi gani.
 
Ukiongea jambo kuwa na ushahidi sio kuongea kwa ushabiki tu Yani Marekani amuogope kiduku kweli ?kwa uchumi gani alionao kiduku.kushinda vita Huwa inategemea una uchumi gani.
Vita sio uchumi tu.. angalia vita ya Us na Vietnam .. pia angalia vita ya Us na wanamgambo wa Taliban ya miaka 20 mwisho wa siku Us wamekimbia wamesahau hadi vifaa vyao vya jeshi. Vita ni zaidi ya uchumi na hesabu za vifaa..
 
Mwanzo wa maneno Biden alisema watasimama pamoja na Ukraine... Jana usiku Biden kasema anawaombea waukrine juu ya kichapo watakachopokea kutoka Urusi 😁😁
 
Hatutaki propaganda kwanini tupige kelele wakati mwanaume anafanya yake. Muda huu tujadili vita yaani uhalisia.
 
Hatutaki propaganda kwanini tupige kelele wakati mwanaume anafanya yake. Muda huu tujadili vita yaani uhalisia.
mmebarikiwa mihemko. kupinga kitu ni rahisi sana ila kueleza ni kwanini unapinga ni mutihani.
utofauti wake na yeye ni kwamba yeye ameweza andika hapa hizo propaganda usizozitaka na watu wamezisoma ila wewe UWEZI andika hapa hizo facts hapa unazozijua ili wengine nao wazijue.
 
Mihemko ndo ubinaadamu. Hawafanani waja. Tuangalie mpambano mwisho tuhitimishe ubishani wa siku nyingi.
 
Fascist Putin kaingizwa kingi kaingia mwenyewe. Gonna be history.
 
Belarus Ni rafiki wa Urusi na mpaka Sasa Kuna jeshi la Urusi pale Sasa marekani atawezaje kuingiza jeshi lake pale
Naona Sasa USA ameanza kulaghai ulimwengu
Sema facist wa Belarus ni rafiki wa Putin. Jitu liko madarakani since 1994 halitaki kuondoka. Communist ideology ni tatizo.
 
Belarus Ni rafiki wa Urusi na mpaka Sasa Kuna jeshi la Urusi pale Sasa marekani atawezaje kuingiza jeshi lake pale
Naona Sasa USA ameanza kulaghai ulimwengu
Unataka kusema Belarus wewe unaifahamu kuliko Marekani
 
UZI UFUTWE TU. 🤣 USHAMALIZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…