Marekani kuipa airtime ya kutosha Wimbo mpya wa Diamond na Neyo

jamaniii mbona aibu kwa mtu mzima kuongea hivi

kwa hiyo ronaldo alipokosa tuzo kwa miaka 4 mfululizo alikua mbovu au ?
au p square kutochukua tuzo kwamba wamepotea au hawajui

jamaniii
N8meuliza huko juu hizi events za tuzo ndio maisha ya kila siku ya mwanamuziki au sehemu tu ?
Naona kuna watu wanafuata mkumbo tu kwenye ushabiki wa muziki ila kwa kwelu walipaswa kufunga mudomo yao kuongea kuhusu muziki na wanamuzik kwa kweli.!
Na sijui kwa nini kuna makundi ya mashabiki uchwara wanachuki na hawa watu Mondi na Kiba sioni mantiki eti kwa kuwa unamshabikia Mondi basi umchukie Kiba au kinyume chake .
Mtu unatakiwa uwe na favourite artist wako tu sio huyu simpendi bali huyu hanivutii but respect kazi zake!
Mi sijawahi kuvutiwa na aina ta myziki wa mpoto but i respect him na nishawahi kuhudhuria maonesho yake lakini he is not in the list of my fav artist na hainifanyi nimchukie au nianze ku compare ki mafanikio au kiubora na wenzake !
Tubadilike !
 
Ila kiukweli huo wimbo wao nautabiria makubwa sana, hasa nikiangalia jinsi Neyo alivyoshiriki kikamilifu kwenye verse yake na kipande kidogo cha video nilichokiona kwa mtandao. Ile ni hit song naitabiria kuingia hadi kwenye chati za billboard!
 
Ni hali halisi...Tuache unafiki...

Mimi ni shabiki wa Diamond ila utumbo alioufanya kule MTV hauvumiliki.....
BET, Mtvbase wenyewe waliisifia show yake halafu hata kama aliboronga kama unavyodai wewe haiwezi ikawa kigezo cha yeye kusaulika kirahisi kama unavyofikiria nakumbuka tangia mwaka 2012 mnatabiri mara hoo huu ndo mwaka wake wa mwisho lakini kila mwaka kijana anazidi kufanya wonders na kwa mazingira connections na investment alizozitengeneza diamond, wewe nakushauri chukua kiti ukae kabisa maana utasubiri sana kumuona huyu jamaa akishuka
Ni hali halisi...Tuache unafiki...

Mimi ni shabiki wa Diamond ila utumbo alioufanya kule MTV hauvumiliki.....
 
Teh teh huyu jamaa kwahiyo Msanii anayeshirikishwa ndiye anaamua kama wimbo uchezwe US? Mi nafikiri ubora wa wimbo ndicho kigezo kikubwa kama ni wimbo wa hovyo utawekwa kapuni tu!!
Ushamba mzigo.....ukiambiwa kitu uelewe na sio kupinga kila kitu..wimbo wa davido na mikmill haujawahi pigwa marekani....kaa humo
 
Diamond kama ameshaanza kupotea....Toka alivyoboronga kwenye MTV hakuna mtu mwenye tyme naye..

Bi mkubwa inaonyesha umeanza kufuata mkumbo wa ushabiki jana,wenzako walishachokaga kutabiri we ndio umekuwa limbukeni leo.Haya niambie Bi mkubwa ikiwa wenye show yao wanampongeza wewe ni nani wa kusema hivo ..........??


Bi mkubwa endelea kusubiri meli Airport.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…