Haya ni maoni binafsi yanayotokana na kitendo cha marekani kumuua kanda wa Quds Force Qasem Soleimani mapema leo.
Iran itajibu mapigo kwa kupeleka kikosi cha makamanda na wanajeshi wa kujiyolea kwa maelfu nchini Iraq kuikabili marekani.
Kikosi hiki kitaliteka jeshi la Iraq kisha kuanzisha vita rasmi ba marekani katika ardhi ya Iraq huku Iran ikijitenga na kusema ni wapiganaji wanaotaka kuikomboa Iraq kwenye ukaliwaji kimabavu na marekani.
Hapo marekani atatumia njia nyingi sana na gharama kubwa sana kuweza kushinda hiyo vita, au ataamua kuikimbia Iraq for good.
Endapo marekani atakimbia, Iraq itakuwa koloni rasmi la Iran na kutaundwa jeshi jipya la kimapinduzi mfano wa Hizbola kuilinda Iraq dhidi ya wavamizi wa nje.
Iran inaweza kufanya mapinduzi na kusimika utawala wa Washia huko Iraq na kumfukuza kabisa mmarekani kwenye ardhi ya Iraq anakoendelea kukalia kijeshi na kupora mafuta.