Hivi ni kweli Wamarekani wamezawadiwa eneo la kigamboni in exchange na ujenzi wa Daraja?
Swali langu: Hivi iwapo watajenga hilo daraja, litakuwa ni kwa faida ya waTanzania au wa Marekani watakaokuwa ndio wakazi? Je, iwapo hao waMarekani watajenga, je wakazi waTanzania wataendelea kuvumiliwa nao kwenye majengo yao hafifu au watahamishwa?
Nawakilisha

Uwekezaji gani anafanya yule mwana mfalme kule Loliondo? Kuchukua wanyama wetu na kuwapeleka Uarabuni kunaitwa kuwekeza?
Kuwapiga marufuku Wamasai wetu katika maeneo waliyokuwa wanatumia ulishaji mifugo ni uwekezaji?
na wale Wamasai waliochomewa nyumba zao walikuwa wavamizi kutoka wapi? Haya ya kuchimbiwa visima si ndiyo hiyo hiyo mentality ya kudumisha dependency kuwa Watanzania hatuwezi lakini wageni. ie Waarabu na Wazungu ndio wanaoweza. Shule hatuna uwezo wa kujenga? Huu ni uwekezaji ninaoupinga na haihusiani kabisa na ukabila au udini. Sikubaliani na mwekezaji wa Grumeti, Tudor, ambaye amefukuza ndugu zangu waliokuwa wanawinda na kulinda mifugo yao huko. Sikubaliani na sera yetu kuhusu vitalu kupewa wageni wawe wazungu, wachina, au waarabu. And this has nothing to do with ukabila na udini. Tanzania hatuhitaji this kind of uwekezaji. Ni unyonyaji.Waarabu wa Loliondo wamewekeza kama walivyowekeza wazungu na hata zaidi yao hapo Loliondo. Kuna makampuni mengi yenye vitalu vya kuwinda Tanzania ambayo hata maji wameshindwa kuwapatia wananchi wanaozunguka vitalu vyao. Waarabu wamechimba visima vya bure kwa wananchi, wamejenga shule, wamejenga hospitali za bure mpaka madaktari na dawa wanatoa bure. Nioneshe mwingine mwenye vitalu sio kitalu kama hawa waarabu, aliwekeza namna hiyo kwa wananchi.
Wanyama hawajachukuliwa kama usemavyo! Wamenunuliwa kwa kufuata taratibu zote zilizowekwa. Na si hawa Waarabu tu wenye kununuwa wanyama hai kutoka Tanzania.
Ikiwa waliokuwa jamii za waliokuwa wakiishi hapo kabla loliondo haijafanywa kitalu cha kuwindia, bado wapo, walioamuwa kuondoka walilipwa. Wenye asili na waliokutwa wamesajiliwa, wameajiriwa, wamejengewa na wanaendelea kufaidika kwa kupewa huduma zote za bure. Hao waliofurushwa ni wavamizi wa kutaka kujiweka sehemu si yao na ni wenyeji wenyewe wa pale ndio waliowafukuza. Kampuni ya waarabu inayo endesha shughuli za uwindaji pale haihusiki na wanaovamia maeneo na wanaowafukuza.
Jee unajuwa Tanzania ina kampuni ngapi za nje zinazomiliki vitalu vya kuwindia zaidi ya hawa waarabu wenye kitalu hiki kimoja tu?
Wacha ubaguzi wa kikabila na kidini. Ukiongelea wenye vitalu vya kuwinda ongelea wote na usi pin point kwa hawa waarabu tu.
Unangekuwa na uwezo mkubwa wakufikir ungejua kwamba mapambano ya US na Osama yatahamia Dar
Unangekuwa na uwezo mkubwa wakufikir ungejua kwamba mapambano ya US na Osama yatahamia Dar
Unangekuwa na uwezo mkubwa wakufikir ungejua kwamba mapambano ya US na Osama yatahamia Dar