Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki.
Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni.
Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo kutuma jeshi lake Congo kwa madhumuni hayohayo.
Idadi ya Askari wa Marekani watakaotumwa huko bado ni siri.