Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Marekani inataka utajiri Congo DRC, Afghanistan hakuna kitu kuleHuko afghanistan wamekimbia vita kwa aibu kubwa jamaa wanadandia ndege kama panya
Ameshawekwa kona,katulia tuliiMkuu mtu chake Rais Kabila kwa Sasa yupo wapi? Hasikiki.
Kama vile siamini, Kabila alikuwa ana nguvu sana
Ana ranchi yake ktk jimbo la Katanga lakini mara nyingi anapenda kuishi South Africa baada ya wapambe wake waliokuwa serikalini kudondoshwa na utawala wa Felix Tshisekedi.Mkuu mtu chake Rais Kabila kwa Sasa yupo wapi? Hasikiki.
Nadhani anaweza kusuka mpango wa kumuua FelixAna ranchi yake ktk jimbo la Katanga lakini mara nyingi anapenda kuishi South Africa baada ya wapambe wake waliokuwa serikalini kudondoshwa na utawala wa Felix Tshisekedi.
Kabila is a spent force. He wrongly thought he could rebound back into active politics to reclaim the presidency come the 2023 general elections but that dream seems to be now shuttered.
Anaweza lakini hakubaliki sana Congo DR kwani wanamuona kama mtu wa kuja zaidi hivyo anaweza kupata tabu sana kupata uungwaji mkono kutoka kwa walio wengi.Nadhani anaweza kusuka mpango wa kumuua Felix
Kwa taarifa yako mission ya Marekani ilikamilika ndiyo maana wakawatoa special force yao baada ya Taaliban kutumika kama kama Toilet paper kusambaratisha USSR....Us ni world numba 01 World military power usipimeManeno ya kwenye khanga....
Afghanistan napo walisema wamewapa wanajeshi wa Afghanistan mafunzo ya uhakika na silaha ila tumeona sapraiz ya Taleban hadi Marekani wakakimbia na ndege zao mpaka wengine wakidondoka kwenye ndege kama maembe