Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 740
Bora nyumbu wa CCM wao hawana uwezo utambuzi kuhoji lolote wao ni tumbo lao pekee.Mkuu unawasikikiza nyumbu wa ufipa?
Tangu lini wakawa na akili hao jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo balozi wa marekani aliyeko tanzania hajui yupo nchi gani mpaka sasa au hata huyo balozi hatambuliwi na nchi yaoTrump wala hajui Tanzania ilipo na wala hakutaja nchi yoyote.
Kama ccm mna akili Loawssa ni Waziri Mkuu Mstaafu?Mkuu unawasikikiza nyumbu wa ufipa?
Tangu lini wakawa na akili hao jamaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wewe Bashite pia una hamu na vikwazo?Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump.
Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu za vikwazo hivyo.
Mimi kama Mtanzania, natamani kujua hali inaendeleaje huko. Maana leo ni Jumatano na sijasikia kitu chochote kutokea huko Marekani.
Je tumepigwa vikwazo au ni propaganda tu zinazoanzishwa na upinzani uchwara dhidi ya serikali ya jiwe hapa nchini?
Wakuu wiki iliyopita hapa nchi kulizuka mjadala mkubwa sana wa Tanzania kuwa miongoni mwa zitakazowekewa travel ban na nchi ya Marekani chini ya Rais mtukutu Trump.
Zaidi taarifa hizo zilidai kuwa kufika Jumatatu ya tarehe 27 Marekani itakuwa imetoa list kamili ya nchi zilizopigwa ban na sababu za vikwazo hivyo.
Mimi kama Mtanzania, natamani kujua hali inaendeleaje huko. Maana leo ni Jumatano na sijasikia kitu chochote kutokea huko Marekani.
Je tumepigwa vikwazo au ni propaganda tu zinazoanzishwa na upinzani uchwara dhidi ya serikali ya jiwe hapa nchini?
Teyari naona jiwe limempata kiongozi wangu wa jijiTrump alisema mwezi wa pili ndiyo ataongelea hili swala!