Marekani na Uingereza wakutana kuonesha uhusiano wao wa kijeshi unatakiwa kuimarishwa hasa kipindi hiki kigumu

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Your browser is not able to display this video.

Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa wasiwasi kama uhusiano wao bado upo imara.

Na pia hali ya kumaliza vita ya Ukraine na Russia kwa makubaliano ya kusitisha mapigano hayo ni moja ya agenda nzito iliyozungumziwa

Waziri Pete Hegseth wa wizara ya ulinzi Marekani asisitiza hilo ni muhimu ili kuwezesha vifo vinavyoweza kuepukika katika vita ya Ukraine na Russia, basi juhudi za kusitisha vita hivyo ya ulaya kati ya Ukraine na Russia vinasitishwa haraka ili kuponya uhai wa watu.

Source : PBS NEWS
 
Mziki wa urusi unaitia jambajamba dunia. Dunia inaweweseka kwa mziki wa urusi na washirika wake. Marekani mwenyewe anaomba urafiki na urusi, huku NATO wakiwa wameduwaa na nchi za kiarabu zikisepana.
 
06 March 2025
Paris, France

Jopo zito lipo studio kujadili mtihani mkubwa kwa ulaya ya Magharibi kufuatia sera mpya ya Trump na pia tishio linalofuata kutoka Russia

View: https://m.youtube.com/watch?v=CVU5w02QCpIWashirika wa Ukraine kwa kweli wana wanajeshi na vifaa vingi. Lakini je Ulaya ipo tayari kwa vita? Na je vifaa hivyo vinatosha kuzuia Urusi ya Putin? Mkutano wa dharura mjini Brussels ulimualika rais Volodymyr Zelenskiy katika onyesho la mshikamano mbele ya kiongozi mkuu wa NATO anayetumia mistari yake maridhiano yaliyoandikwa Kremlin Moscow .

Dharura ya uharaka iliyoonyeshwa na Ujerumani kufikia makubaliano ya kurekebisha katiba yake ili iweze kuhakikisha usalama wake bila kutegemea ulinzi wa Marekani.

Umoja wa ulaya wanaweza kwenda kasi kiasi gani, wakiwemo Waingereza, ikiwa vifaa vyao vilivyoundwa nchini Marekani haviwezi kufanya kazi bila idhini ya Washington au katika baadhi ya matukio, bila taarifa za kijasusi kutoka Marekani pia ....

Source : France 24

Jenerali mstaafu Jean - Marc Vigilant wa kamandi ya air na space force wa Ufaransa anadokeza mazito ya kutisha na kuogofya jinsi hali halisi ilivyo kwa sasa ya uwezo kivita katika jopo hilo juu katika studio
 
TOKA MAKTABA:
9 January 2017

Misuli ya kijeshi ya Marekani iliyopo ulaya.


View: https://m.youtube.com/watch?v=1gK0QKaI7ls
Marekani inataka nchi 27 za ulaya kuongeza mchango wao wa kifedha kwa kutenga bajeti kubwa zaidi za kijeshi, ili kuipunguzia mzigo Marekani mzigo waoubeba katika mbeleko yao ya kijeshi. Mfano ni vifaa hivyo ktk video maktaba vilivyotua Ujerumani miaka iliyopita kuikingia kifua Ulaya na tishio la kuvamiwa na Russia.

U.S. tanks rolled into Germany this weekend to protect Eastern Europe from a potential Russian invasion. Eliza
Source : CBS
 
Nyakati ngumu kuelekea tishio la mpasuko baina ya nchi rafiki


View: https://m.youtube.com/watch?v=6z-nk1LOfS4Mlinganisho baina ya Jeshi la Ulaya na Marekani? | Vantage pamoja na Palmi Sharma | N18G Huku kukiwa na mpasuko mkubwa katika muungano wa mataifa ya magharibi, swali kubwa linabakia ni je kama Ulaya inaweza kujilinda bila usaidizi wa Marekani ?

Marekani ndiyo nchi inayotumia fedha nyingi zaidi za kijeshi duniani. Kwa hivyo mataifa ya Ulaya yanalinganishwaje na Amerika katika matumizi ya kibajeti ya kijeshi?

Vipi kuhusu rasilimali za kuendesha vifaa vita mfano wanajeshi wataalamu wanaofanya kazi, ndege, silaha za kisasa za hali ya juu, na nguvu ya jumla ya mapigano? Ulaya kwa ujumla ina vifaa vya aina gani vya ulinzi?

Mwandishi wetu nguli wa uchunguzi Palmi Sharma anakuletea ripoti hiyo. --- NATO | Marekani | Ulaya | Jeshi | Mfumo wa Ulinzi | Palmi Sharma | News
 
TUBISHANE WEEEH,ILA MWISHO TUKUBALI URUSI NI KITU CHA ZIADA.KUNA MAMBO HATUYAJUI KUHUSU URUSI.
 
Pete Hegseth mtu kazi waziri, mwenye fani nyingi kibindoni.

Picha maktaba : Pete Hegseth

Mfahamu Pete Hegseth waziri wa ulinzi wa Marekani wa awamu ya pili ya utawala wa Trump.

View: https://m.youtube.com/watch?v=wJzwu8LUS3QWaziri wa ulinzi wa Marekani Pete Hegseth ni ofisa mstaafu wa jeshi la infatria (infantry) la Marekani aliyehudumu katika operesheni za kijeshi Afghanistan, Iraq n.k msomi wa vyuo vikuu tajwa vya Harvard na Princeton University, mtunzi wa novel kidhaa za masuala ya mapambano ya kivita. Historia yake ya mapito inasisimua ni kama tamthilia lakini siyo, bali ni ya uhalisia


View: https://m.youtube.com/watch?v=494JisV12NM
Pete Hegseth pia alipata kuwa mtangazaji tajwa wa kituo cha televisheni na muandaaji vipindi na dokumentari zinazoendelea kugusa hisia watazamaji


View: https://m.youtube.com/watch?v=o--XAa37Kd4
Waziri Pete Hegseth na dokumentari yake inayotazamwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…