Sehemu mmoja Mmarekani amecomment hivi;
whats the point of being a president where there is none alive..,anyone can be a president.....if he dies we can elect someone but if we all persons die the president cannot elect his people or in other words he cannot bring them alive,,...he will a president to the dead people....this is foolish...
I can't agree more!
Sehemu mmoja Mmarekani amecomment hivi;
whats the point of being a president where there is none alive..,anyone can be a president.....if he dies we can elect someone but if we all persons die the president cannot elect his people or in other words he cannot bring them alive,,...he will a president to the dead people....this is foolish...
I can't agree more!
Kwa sasa USA ndiyo superpower, na ndiyo inayocontrol the world. Bahati mbaya tu hawajatangaza bado mafanikio ya New World Order progress ambayo ndiyo George Bush Sr. aliitiisha rasmi dunia. Cha kushukuru Mungu ni kuwa, kwa sasa Dunia ipo katika a third world war of multy polar restructuring. Hata hivyo, hiyo haitusaidii sisi kama nchi kwa kuwa at the end of it, itabidi tena kale kajumuia ka NAM karudi tena. Cha msingi ni kujenga Taifa, ambalo nasi tutaweza kutoa na kudicted world policy, vinginevyo dont be involved with this motions because you will develop the heart deseases.Ulimwengu wote mali ya mungu wala sio mali ya Amerika, walimwengu wote muwe macho na ujanja wao wamarekani, lengo lao waitawale dunia, wachukue mali zote za Dunia ili watu waiabudu...Dunia ni ya Mungu kwa watu wote!-By Munishi
je ni muelekeo wa Vita ya 3 ya Dunia?
Mkuu apparently hakuna WW3 ila kimsingi kama unavyojua U.S iko ktk mwendelezo wa mchakato wake wa kutawala kila kitu ktk dunia hii mchakato huu ndo kile unachosikia New World Order (NWO).
Wengine wakiwaza kutengeneza vitu kama hivyo kuna wengine wanawaza kujilipua....al shaabab bana
Mkuu New Word Order haitakuja bila kuwepo WWW3 ili kuondoa yale mataifa yatakayotaka kuresist kama Russia, Chines, Iran, United Arab Emirates, umoja wa nchi za kiarabu. NWO haitakuja mpaka global population iwe chini ya watu mil. 500 ambayo itafanikiwa kupitia katika vita hii ambapo mwongozaji mkuu ni roman empire iliyo kufa kwa sababu ya utawala wa wanadamu itaibuka kama European Union chini ya jeshi la NATO. Nashut down