ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ni wazi vita ya Russia na Ukraine ni vita ya Russia na marekani na ndo maana marekani anatoa misaada sana Ukraine nadhani ndo taifa la kwanza linaloongoza kupewa pesa nyingi ikifuatiwa na Israeli. Kwa Africa ni Nigeria ndo linaloongoza kupewa michango.
Nije kwenye point yangu. Kwanini marekani na urusi wana uhasama huo na vita baridi lakini Wana share mambo mengi pamoja. Urusi na marekani zinadumisha moja ya uhusiano muhimu zaidi, muhimu na wa kimkakati ulimwenguni.
Mataifa yote mawili yanashiriki maslahi katika usalama na usalama wa nyuklia, kupambana na ugaidi na kubwa zaidi ni uchunguzi wa anga.kwenye kufanya maintenance ya kituo cha anga huwa team inaundwa na urusi na marekani Yaani kweli kama wangekuwa na uhasama si lazima wangeogopa mmoja kumuhujumu mwenzake.