NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
You don't even realize I responded to you that way because you were going off topic and never responding to my post. Reason why I said you reason like a 5 year old.Off topic, anyones age inakuhusu nini? umeulizwa swali unatafuta mlango wa kutoke. Honestly speaking, Wakenya wa hapa JF mnaitia abibu nchi yenu.
Taifa bora linakuwa reality under magufuli, this nonsense you're talking about, is bullshitNinakubaliana nawe. Ila ni lazima tujue kuwa hawa wazungu hawajali mambo ya mtanzania kamwe, na hicho ndicho kinaniudhi. Yaani kuna mambo mengi sana ya kipuzi ambayo serikali ya CCM imefanya lakini hawa wazungu hawajajali na wametoa tu tamko moja moja. Lakini ilipofika kuwa mashoga wameguzwa, wamejifanya kutoa tamko kila mahali. Hawa watu hujali tu mashoga na si watanzania. Ikiwa Pombe atatoa amri kuwa mashoga walindwe, kisha baadaye awatese watanzania maradufu, watamsifu sana. Ni lazima wapinzani wa Magufuli wajue wako peke yao katika kupigania taifa bora. Nawatakia mema.
You're old, yet soo dumb.Hakuna siku mzungu hutakia mema Mwafrika, lakini kwa vile anawalisha na kuwalea kwa misaada yake, hivyo inabidi kuwa makini unapomchokonoa.
Kuna nchi nyingi tu mashoga hufungwa jela na kupigwa lakini hufanyika kimya kimya, sasa nyie mnapayuka bila mpango mnaishia kulishwa kibano kwa umaskini wenu.
You must be having a really boring Sunday wengin tuko kazini, unatupotzea muda na haya childish games. Umekuja na generalise comment kusema nchi nzima inaomba msamaa, msamaa upi wakati sheria zote ziko na zinafanya kazi? Nimekuuliza kama Sonko akitoa kauli ni nchi zima inakuwa imetoa kauli? I didn't get an answer to that. So only bored person ndio atakuwa na muda wa kuruka ruka na comments kama hizi. Unless if your trying to gain something with this wastage of time which in know for a fact you won't.You don't even realize I responded to you that way because you were going off topic and never responding to my post. Reason why I said you reason like a 5 year old.
Ukipenda usipopenda hulazimishwiHama uende marekani wakutatue mpaka barabarani
Dude, when the government representative says something, we consider that the stand of the nation. When a Tanzanian government representative says Kenyan chicks should be burned, we say Tanzania burned Kenyan chicks. Do I have to educate you through elementary understanding of everything before we engage? When I said you reason like a 5 year old, I was dead serious. No wonder we are talking about Tanzania going so hard on homosexuality then chickening out after the West raises concerns and you're here talking about Richard Quest this Richard Quest that.You must be having a really boring Sunday wengin tuko kazini, unatupotzea muda na haya childish games. Umekuja na generalise comment kusema nchi nzima inaomba msamaa, msamaa upi wakati sheria zote ziko na zinafanya kazi? Nimekuuliza kama Sonko akitoa kauli ni nchi zima inakuwa imetoa kauli? I didn't get an answer to that. So only bored person ndio atakuwa na muda wa kuruka ruka na comments kama hizi. Unless if your trying to gain something with this wastage of time which in know for a fact you won't.
You're old, yet soo dumb.
Unadhani marekani anawalisha na kuwapa misaada burebure.
They have no permanent friends, only after interests.
Sisi tutapayuka, na hakuna kima wA kutupangia namna ya kudeal na nyie mashoga.
We're in the raiti traki..[emoji41] [emoji41]Tutarara nao mbere kwa mbere huku tukitembea vifua mbere
Taja handaki moja lilobaki, sisi tushanyonywa but we're smarter, under magu no table will left unturn, sisi si wajinga kama nyinyi mnanyonywa hadi na wachina na sgr lenu. Yani sgr yenu ni kithibitisho tosha cha unyonyaji mkubwa na wa hali ya juu Africa, shughulikia unyonyaji mnaofanyiwa nyinyi, you think i dont know kenya hakuna migodi inayovunwa na hao wazungu. Will just ignore you since you're a jubilee propagandist. Kikulacho ki nguoni mwako buda, pambaneni na hali yenu worse than us.Aliyesema anawapa bure nani, tena anawafyonza zaidi ya anachowapa, na ndio unaona migodini mpo na mahandaki matupu na umaskini, ila ninachosema ni kwamba mwisho wa siku mnawazungushia vibakuli, kisha mnawapayukia, wakitembeza kibano mnawalilia maana hadi sasa mawaziri wenu kadhaa washajitokeza kumkana Makonda ila mzungu bado hajaridhika.
Taja handaki moja lilobaki, sisi tushanyonywa but we're smarter, under magu no table will left unturn, sisi si wajinga kama nyinyi mnanyonywa hadi na wachina na sgr lenu. Yani sgr yenu ni kithibitisho tosha cha unyonyaji mkubwa na wa hali ya juu Africa, shughulikia unyonyaji mnaofanyiwa nyinyi, you think i dont know kenya hakuna migodi inayovunwa na hao wazungu. Will just ignore you since you're a jubilee propagandist. Kikulacho ki nguoni mwako buda, pambaneni na hali yenu worse than us.
Viranja wa Dunia. Bila America tungekuwa na World war 5 sahii. USA ndio inasmamia haki na uhuru wa kibinadamu kote duniani. Mkianza kujifanya kama manyani they take care of you, uwe wewe ni mchina,Muafrika ama We ni Mzungu kutoka Europe ama America wote tuko china Uongozi wa US kama World leader through the UN.
OK, hii post ndio imemipa picha kamili kama unapata shida kuelewa jurisdiction of local gov and central gov. Ni wewe tu ndio unashidwa kuelewa kama hii issue ya mashoga Tanzania ilianziswa na mtu wa local government na sio central gov. Pitia international media zote uone wanasema Dar Governor or Dar Chief etc ndio ameanzisha mlango wa mashoga. Wao wanajuwa kutofautisha between two governments. Ndio maana hata mfano wa Sonko unakushida kuelewa, central gov can't take the blame for dicisionn made by local gov outside the rules.Dude, when the government representative says something, we consider that the stand of the nation. When a Tanzanian government representative says Kenyan chicks should be burned, we say Tanzania burned Kenyan chicks. Do I have to educate you through elementary understanding of everything before we engage? When I said you reason like a 5 year old, I was dead serious. No wonder we are talking about Tanzania going so hard on homosexuality then chickening out after the West raises concerns and you're here talking about Richard Quest this Richard Quest that.
I like the way you're now distancing yourself from him yet the other day you were applauding him and boasting of how Tanzania never bootlicks white people courtesy of him. This is exactly what I've been talking about. Mnajitia ubabe ilhali ninyi no hohehahe.OK, hii post ndio imemipa picha kamili kama unapata shida kuelewa jurisdiction of local gov and central gov. Ni wewe tu ndio unashidwa kuelewa kama hii issue ya mashoga Tanzania ilianziswa na mtu wa local government na sio central gov. Pitia international media zote uone wanasema Dar Governor or Dar Chief etc ndio ameanzisha mlango wa mashoga. Wao wanajuwa kutofautisha between two governments. Ndio maana hata mfano wa Sonko unakushida kuelewa, central gov can't take the blame for dicisionn made by local gov outside the rules.
Tukumbuke what happened in Uganda kama miaka miwili hivi nyuma kama sijakosea,mswaada ulienda bungeni na ukapita ila KAGUTA alibadili mambo alivyoiona presha ya wakubwa!!. Lakini ndugu zangu mi najiuliza hivi hawa wenzetu wana maisha gani?!? Au ni Sodoma na Gomorah Perce,maana wamechachamaa sana hapa mpaka UN?!!?!Mnaosema haya matamko ni propaganda za Wakenya mnajiliwaza tu, hili hapa lipo kwenye tovuti ya serikali ya Marekani tena toleo la tarehe ya jana. Kama nilivyoshauri kwenye uzi mwengine, itabidi huyo Bashite ashushwe ndio hawa wazungu watawaacha salama, mligusa nyeti zao ilhali mnategemea hela wanazowapa.
Hamkufaa kukurupuka hivyo, haya mambo hufanywa kwa kutumia akili, mnafaa kuwaminya mabwabwa kichini chini tena kimya kimya na sio kwa kiherehere cha kuropokwa eti mtawafuata mlango kwa mlango, nyumba kwa nyumba, yaani hapa mnamkana Bashite lakini wazungu hawajatosheka hadi waone kitu, lazima wazae na nyie kwa hili, mtajaribu kulaumu Kenya kama ilivyo kila mkikumbana na changamoto, lakini haitowasaidia.
------------------------------------------------------
Deterioration of Civil Liberties and Human Rights in Tanzania
Press Statement
Heather Nauert
Department Spokesperson
Washington, DC
November 9, 2018
The United States government is deeply concerned over escalating attacks and legislative actions by the Government of Tanzania that violate civil liberties and human rights, creating an atmosphere of violence, intimidation, and discrimination. We are troubled by the continued arrests and harassment of marginalized persons, including lesbian, gay, bisexual and transgender people, and others who seek to exercise their rights to freedom of speech, association and assembly. Legislation is being used to restrict civil liberties for all.
The deteriorating state of human rights and rule of law in Tanzania inhibits development, economic prosperity, peace, and security. We call on Tanzanian authorities to act decisively to safeguard the rights of civil society organizations, human rights defenders, journalists, health workers, political activists, and all people in accordance with the Tanzanian constitution, the African Charter on Human and People’s Rights, and the country’s international and regional obligations and commitments.
Deterioration of Civil Liberties and Human Rights in Tanzania
I'm not his fun if that what your implying, I haven't wrote anything in his support.I like the way you're now distancing yourself from him yet the other day you were applauding him and boasting of how Tanzania never bootlicks white people courtesy of him. This is exactly what I've been talking about. Mnajitia ubabe ilhali ninyi no hohehahe.
Wanaojifanya mababe ni nyinyi. Si kila siku mnatubeza eti we are a white man's bootlickers? In the recent past Tanzanians have been celebrating here how you deal with white people alafu mzungu akishakohoa nyie ndio wa kwanza kuruka mtu wenu.I'm not his fun if that what your implying, I haven't wrote anything in his support.
There so many moments were Kenya has presented itself as bootlicker, most recently one was during American lead UN vote against Israel.
Kenya invited to US party for absence on UN's Jerusalem vote
Halafu huku mnasema nyinyi ni wababe, there reasons why ANC government doesn't get along with Kenya.
Tukumbuke what happened in Uganda kama miaka miwili hivi nyuma kama sijakosea,mswaada ulienda bungeni na ukapita ila KAGUTA alibadili mambo alivyoiona presha ya wakubwa!!. Lakini ndugu zangu mi najiuliza hivi hawa wenzetu wana maisha gani?!? Au ni Sodoma na Gomorah Perce,maana wamechachamaa sana hapa mpaka UN?!!?!
What about the freedom of expression?Hawa jamaa wataishia kutoa matamko ..
Kama wanapenda ushoga wafumuliwe rinda wao wenyewe lakini Tanzania hapana