Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

Ha ha ha unafananisha ubora wa US na wale wanaowinda na kuwaua TEMBO WETU WA AFRIKA?!!!!
 
Ni kweli ndo maana Libya kuna amani baada ya kumuondoa Gaddafi
 
Wakiweka economic sanctions wanaoumia ni wanachi sio raisi wala wabunge
 
Hahah mmeghairi kuingia ktk Maandamano??

Jaribuni tu... Muone
Atuingii bwashee tumeghairi.
yale ma Ashork Leyland kila tukiyaangalia tunyaona yanahasira alafu ukiyaona kama yanalia hivi kwa ghadhabu.
 
America na south korea ndo nchi bora zaidi duniani kuishi huko kuna democracy bwana
 
Siku zote mtenda haki huwa hapendwi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ususie bidhaa za mchina?

Huyu Lisu kaharibu akili za vijana
Tujiandae kwa vikwazo na misaada kupungua wafadhili hawawezi kutoa misaada kwa nchi ambayo haina democrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…