Kumbe kuvaa kanzu nalo tatizo? Mbona nyinyi makafir ya afrika hamvai magome ya miti na ngozi mnavaa nguo za wazungu?uislamu wa marekani kwa wamarekani ni tofauti na uislamu huu uliopo hapa afrika na nchi zenye dini zao.
Waislamu wa kule uwezi kuelewa kama ni muislamu yani maisha wanayo ishi waislamu wa kimarekani tena ndio black utakataa kabisa.
Huku kwetu sasa tanzania yani kila mda kanzu utazani kazaliwa saudia.
Wenzetu wamarekani uslamu wake ni amani tu,mda wa kuswali anajitafutia sehemu yake ana swali sio huku yani ni vurugu mpaka wakuone kuwa una swali.
waislamu wa kimarekani uwezi kumuona ana kuchukia hata kama sio dini yake ,ndio maan kipindi cha markom x kulikuwa na waislamu wengi na waliungana na mrtin Luther kupinga ubaguzi na wakaweza.Huku bwana yani waislamu ndio wanaona ndio waliiopata uhuru nchii.
waislamu wa kimarekani mnaishi majirani na mnawekeana mipaka kama hiki usitumie,hiki sawa kama imani tofauti na wote wanaishi bila hata kumtenga mwenzake.Huku bwana yani sheikh yule mwarabu wa mchongo xmass ni haramu.
uislamu wa marekani kwa wamarekani ni tofauti na uislamu huu uliopo hapa afrika na nchi zenye dini zao.
Waislamu wa kule uwezi kuelewa kama ni muislamu yani maisha wanayo ishi waislamu wa kimarekani tena ndio black utakataa kabisa.
Huku kwetu sasa tanzania yani kila mda kanzu utazani kazaliwa saudia.
Wenzetu wamarekani uslamu wake ni amani tu,mda wa kuswali anajitafutia sehemu yake ana swali sio huku yani ni vurugu mpaka wakuone kuwa una swali.
waislamu wa kimarekani uwezi kumuona ana kuchukia hata kama sio dini yake ,ndio maan kipindi cha markom x kulikuwa na waislamu wengi na waliungana na mrtin Luther kupinga ubaguzi na wakaweza.Huku bwana yani waislamu ndio wanaona ndio waliiopata uhuru nchii.
waislamu wa kimarekani mnaishi majirani na mnawekeana mipaka kama hiki usitumie,hiki sawa kama imani tofauti na wote wanaishi bila hata kumtenga mwenzake.Huku bwana yani sheikh yule mwarabu wa mchongo xmass ni haramu.
Kusafiri ni elimu kubwa sana.Ulichozungumz kinaenda sambamba na wakristo wa marekani hivyo hivyo.
Wakristo wa marekani mfano jiji la newyork pamoja na kuwa yule jamaa ni muislam hawakuangalia dini yake wamemchagua na kuwa kiongozi wao bila kuangalia dini yake ya uislam wameangalia utendaji wake.
Pili hawana chuki na waislam wala uislam thats why utaona wakristo wengi USA wanaandamana kuwapinga israel na usa katika vita yao dhidi ya wapalestina kule gaza bila kujali kiwa wanaouliwa wengi kule ni waislam
Wewe mbona unavaa nguo za kikristo na lisijdah lako kubwa kama chapati kwenye paji jeusiii tii kama tako la Iddi Ammin?Kumbe kuvaa kanzu nalo tatizo? Mbona nyinyi makafir ya afrika hamvai magome ya miti na ngozi mnavaa nguo za wazungu?
Nguo gani ya kikristo niliovaa? Mm najua kuna nguo za wazungu na waarabu tu, haya wewe nitajie fashen hata moja ya Paulo au YesuWewe mbona unavaa nguo za kikristo na lisijdah lako kubwa kama chapati kwenye paji jeusiii tii kama tako la Iddi Ammin?
Gammerparticles