Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi.

chris-brown-birthday-party-shut-down-tarzana-mansion-lapd-cops-r-1620320343892.jpeg

Ilianza kwa sauti kubwa kwanza ya muziki usiku kucha na majirani waliamua kusogea nyumbani kwa jamaa ili kuomba sauti ipunguzwe walifanya hivyo shida ilikuja kwenye foleni ya magari nje ya nyumba na ndani hasa pembezoni mwa barabara.
 
Kuna movie inaitwa Project X. Ilikua na hii idea.
Baba anarudi asubuhi anakuta nyumba imeungua gari limetumbukizwa kwenye swimming pool dah[emoji3][emoji3][emoji3]ila mzee peace sana yani hakumfanya chochote mwanae
 
Baba anarudi asubuhi anakuta nyumba imeungua gari limetumbukizwa kwenye swimming pool dah[emoji3][emoji3][emoji3]ila mzee peace sana yani hakumfanya chochote mwanae
Hahaha unaikumbuka eeh. Hahaha. Kibongo bongo mngegawana majengo ya Serikali.
 
Back
Top Bottom