Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Kutokana na Uganda kutunga sheria kali zidi ya mashoga. Marekani, Uholanzi, Sweden, Denmark zimesema ziko kwenye mkatakati wa kusitisha misaada kwa Uganda.
Wakati huo huo rais Museveni amesema Uganda ni tajiri kwa maliasili haitaji misaada hiyo ya masharti kuruhusu ushoga.
Amesema atashirikiana na nchi zisizoingilia mambo ya ndani ya nchi kama Russia