Marekani: Tiktok yazuiwa kwenye Kompyuta za Serikali za Majimbo 19

Marekani: Tiktok yazuiwa kwenye Kompyuta za Serikali za Majimbo 19

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
XLUKHQBSGZKZFM654TGY6VLN64.jpg

Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia kuingilia taarifa za Serikali na kukagua maudhui.

Majimbo 19 kati ya 50 ya Marekani tayari yamezuia ufikiaji wa Tiktok kwenye Kompyuta za Serikali inayomilikiwa na kampuni ya China ya ByteDance Ltd.

Baadhi ya Wawakilishi wa Congress wiki iliyopita walipendekeza kuipiga marufuku Tiktok nchi nzima, ambayo itafuata nchi kama vile India ambazo tayari zimepiga marufuku matumizi yake.

=============

State agencies in Louisiana and West Virginia on Monday became the latest to ban the use of the popular social media service TikTok on government-managed devices over concern that China could use it to track Americans and censor content.

Some 19 of the 50 U.S. states have now at least partially blocked access on government computers to TikTok, which is owned by Beijing-based ByteDance Ltd. Most of the restrictions came within the past two weeks.

Some members of Congress last week proposed a nationwide ban, which would follow countries such as India that have already prohibited its use.

Jamf Holding Corp (JAMF.O), which sells software to organizations to enable filtering and security measures on iPhones and other Apple (AAPL.O) devices, said its government customers have increasingly blocked access to TikTok since the middle of this year.

About 65% of attempted connections to TikTok have been blocked this month on devices managed by Jamf’s public sector customers worldwide, including school districts and various other agencies, up from 10% of connections being blocked in June, the company said.

TikTok on Monday reiterated a statement, saying the company was "disappointed that so many states are jumping on the political bandwagon to enact policies based on unfounded falsehoods about TikTok that will do nothing to advance the national security of the United States."

In Louisiana, Secretary of State Kyle Ardoin said he banned TikTok on all devices his agency owns, citing potential security threats but without identifying any present issues. West Virginia State Auditor JB McCuskey said he did the same for his agency.

U.S. officials and TikTok have been in talks for months about a national security pact that would address the concerns about China's access to data on TikTok's more than 100 million U.S. users.

REUTERS
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tiktok n mtandao wa kichina? $ikua najua hata
 
Tiktok hamna , Kwanza wana_command access yote ya device , kuanzia contact , SMS na n.k , ukikuta mtandao uko hvyo , kuwa makini Sana
 
Tiktok hamna , Kwanza wana_command access yote ya device , kuanzia contact , SMS na n.k , ukikuta mtandao uko hvyo , kuwa makini Sana
Facebook whatsapp wote ni hivyohivyo. Chrome nayo eti inataka access ya location na mike ya simu yako. Hapo hujagusia google na voice assistant yao
 
Bado tunaendelea kusutwa huku tuache kwanza 🚶🚶🚶🚶
 
Marekani hua haikurupuki kwenye maamuzi yake[emoji116]

[emoji298]️The owners of TikTok admitted that they illegally obtained the data of some American users, – The New York Times.

The Chinese company ByteDance, which owns the app, conducted an internal investigation.

It revealed that its employees illegally obtained the data of a number of American users, including two journalists, one of whom works for The Wall Street Journal.

 
Back
Top Bottom