Marekani, Ulaya na Uingereza imetishia kuwafungia hati za usafiri wanasiasa wanaoeneza chuki Kenya

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mabalozi na wawakilishi kutoka Amerika Kaskazini, Uingereza na Ulaya wametaka vyama vikuu vya Jubilee na NASA kuzozana na kuiacha tume ya Uchaguzi IEBC kuendesha uchaguziuchaguzi mpya

Uingereza na Marekani wametishia kufuta hati za kusafiri na hata kuchukua hatua zaidi dhidi ya wanasiasa wanaochochea chuki na wanaojaribu kuzuia uchaguzi usifanyike

=========================================
Envoys from North America, Britain and the European Union, want the two main political sides Jubilee and NASA, to stop the grandstanding that has been going on and allow IEBC, to conduct the fresh Presidential election. The US and Britain have even threatened to deny visas or travel clearance, to hardliners and hate mongers who attempt to stop the elections. Andrew Ochieng has more details.

NASA wajiandae, uvumilivu unafikia mwisho
 
Nilishasema maadamu D.Trump ni Raisi wa USA, hakuna Vita tena si Kenya wala Afrika, vita Afrika ililetwa/ilichangiwa na mpiga Kristo Obama, Clinton &Co. hivi tunavyoongea hakuna tena Boko haram, hakuna Kony Uganda, hakuna shida Burundi, hata Kongo mambo yanakwenda vizuri, hata Sudani Kusini kumetulia, Isis wamekimbia!

D.Trump hataki huo ujinga, sasa Raila Odinga, fisadi Lowasa &Co. wastaafu Siasa kwa maana hakna Vita wala fuho tena Afrika mpaka labda 2020/24!
 
Mabalozi na wawakilishi kutoka Amerika Kaskazini, Uingereza na Ulaya wametaka vyama vikuu vya Jubilee na NASA kuzozana na kuiacha tume ya Uchaguzi IEBC kuendesha uchaguziuchaguzi mpya

Uingereza na Marekani wametishia kufuta hati za kusafiri na hata kuchukua hatua zaidi dhidi ya wanasiasa wanaochochea chuki na wanaojaribu kuzuia uchaguzi usifanyike

=========================================
Envoys from North America, Britain and the European Union, want the two main political sides Jubilee and NASA, to stop the grandstanding that has been going on and allow IEBC, to conduct the fresh Presidential election. The US and Britain have even threatened to deny visas or travel clearance, to hardliners and hate mongers who attempt to stop the elections. Andrew Ochieng has more details.

Africa is for Africans, black Africans- IDD AMIN DADA
 
Marekani toka kitambo wanamsupport Uhuru, walishampongeza kwa ushindi wakati Odinga anacomplain. Mahakama ya Kenya ikawaumbua. Odinga amebaki na wananchi wake maskini, hata uchaguzi utaokuja wataibiwa kibabe
 
unazungumzia ile mahakama ya majaji wakora!
 
Back
Top Bottom