MAREKANI: Urusi imefungiwa na Marekani kucheza Kombe la Dunia?

Walitakiwa kuongeza ulinzi sio kuzuia watu wasiingie nchini mwao. Ni matumaini yangu uko mbeleni mwenyeji mwingine akipiga hizi marufuku za timu, marefa na mashabiki kuingia kwenye nchi yake nae pia ataeleweka
Kwa nchi kama Marekani ni lazima iwe makini kwa sababu fursa kama hii ni adhimu kwa magaidi kutumia kupenyeza watu wao ambao baadaye hufanya ugaidi.
 
Hata mashindano ya ngazi ya club hawachezi mfano uefa champions league na ueropa timu za russia hazishiriki kama ikivyokua zamani
Ila timu Yao ya taifa Urusi mechi za kirafiki chini fifa wanacheza sikuhizi, je hapo vipi?
 
US hajaivamia Iran na hakuna chochote ilichofanywa na international community yeyote. mpaka wakati huu maduro wa venezuera ananyea debe na hakuna tamko lolote. lakini why Russia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…