Marekani wafufua treni yao ya makaa ya mawe kwa ajili ya kumbukumbu kwa vizazi vijavyo

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Pamoja na kwamba Marekani wameendelea sana walishaziacha siku nyingi.
Tarehe 13 May 2019 wameamua kufufua train yao kubwa wakati huo inaitwa Union pacific big boy 4014 ambayo mara ya mwisho ilitembea mwaka 1960 kwa ajili tu ya kumbukumbu kwa vizazi vya sasa.
Tukio hili lilifanyika jimbo la Utah na kushangiliwa na umati wa watu.
 
Ni jambo la busara sana kuhifadhi na kutunza historia yako kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. Ni matumaini yangu sisi kama taifa tumejifunza kitu juu ya hili.
 
Likiitwa gari moshi, lipo la kitalii tulilofufua zaidi ya miaka 10 sasa.
 
Hili viwanda vikubwa Marekani viendelee tu kupollute mazingira,hahaha Mjanja mmoja.
Ni mjinga vilevile, unaweza shangaa mwakani akashinda tena. Hawa wamarekani wakati mwingine, pamoja na elimu yao nzuri, unashindwa kuwaelewa.
 
Ni jambo gumu sana kujua akili ya Trump, kwa maana leo anakuja hivi kesho anakuja kivingine kabisa. That's why anafanya maamuzi fulani hivi ambayo yanaishangaza Dunia kwa mapana yake.
 
Back
Top Bottom