NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Ni jambo la busara sana kuhifadhi na kutunza historia yako kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. Ni matumaini yangu sisi kama taifa tumejifunza kitu juu ya hili.Pamoja na kwamba Marekani wameendelea sana walishaziacha siku nyingi.
Tarehe 13 May 2019 wameamua kufufua train yao kubwa wakati huo inaitwa Union pacific big boy 4014 ambayo mara ya mwisho ilitembea mwaka 1960 kwa ajili tu ya kumbukumbu kwa vizazi vya sasa.
Tukio hili lilifanyika jimbo la Utah na kushangiliwa na umati wa watu.
Likiitwa gari moshi, lipo la kitalii tulilofufua zaidi ya miaka 10 sasa.Ni jambo la busara sana kuhifadhi na kutunza historia yako kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho. Ni matumaini yangu sisi kama taifa tumejifunza kitu juu ya hili.
Safi.Likiitwa gari moshi, lipo la kitalii tulilofufua zaidi ya miaka 10 sasa.
Main issue ni kumbukumbu mkuu. Kuhusu uchafuzi wa mazingira they don't care aiseee.US chini ya Trump upuuzi wa Global warming wala hawa hawajali.
Main issue ni kumbukumbu mkuu. Kuhusu uchafuzi wa mazingira they don't care aiseee.
Hili viwanda vikubwa Marekani viendelee tu kupollute mazingira,hahaha Mjanja mmoja.Trump alisema hata mambo ya global warming ni uongo tu mkuu,hahah
Ni mjinga vilevile, unaweza shangaa mwakani akashinda tena. Hawa wamarekani wakati mwingine, pamoja na elimu yao nzuri, unashindwa kuwaelewa.Hili viwanda vikubwa Marekani viendelee tu kupollute mazingira,hahaha Mjanja mmoja.
Ni jambo gumu sana kujua akili ya Trump, kwa maana leo anakuja hivi kesho anakuja kivingine kabisa. That's why anafanya maamuzi fulani hivi ambayo yanaishangaza Dunia kwa mapana yake.Ni mjinga vilevile, unaweza shangaa mwakani akashinda tena. Hawa wamarekani wakati mwingine, pamoja na elimu yao nzuri, unashindwa kuwaelewa.