Marekani walia na ukame, uzalishaji wa mahindi waathirika

Marekani walia na ukame, uzalishaji wa mahindi waathirika

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Wengi hudhani taifa kubwa km Marekani halitegemei maji ya mvua kwa ajili ya kilimo. Ukweli ni kwamba hata wao wanategemea mvua kwa kiasi kikubwa.

Mwaka huu inaonyesha kutokana na ukame mkali unaoendelea uzalishaji wa mahindi utaathirika kwa 34% na Soya kwa 28%.

Chanzo: Chapisho la Agweb tarehe 3 June 2023.
 
Na mazao mengi pia wanamtegemea Mrusi na Ukaraine

Dunia kusaidiana hivyo na sisi tungelima sana ila tusaidia kukuza uchumi wetu

Tujitahidi kulima sana maana wenzetu yamewakuta haswa, na hii vita imeathiri watu wengi sana duniani waliokuwa wanategemea mazao kutoka Russia na Ukraine

America hawezi kufanya lolote kwenye hii global crisis na ukame wao wa mvua
 
Picha
20230604_134746.jpg
 
Attachments

  • 20230604_134746.jpg
    20230604_134746.jpg
    93.4 KB · Views: 8
Na mazao mengi pia wanamtegemea Mrusi na Ukaraine

Dunia kusaidiana hivyo na sisi tungelima sana ila tusaidia kukuza uchumi wetu

Tujitahidi kulima sana maana wenzetu yamewakuta haswa, na hii vita imeathiri watu wengi sana duniani waliokuwa wanategemea mazao kutoka Russia na Ukraine

America hawezi kufanya lolote kwenye hii global crisis na ukame wao wa mvua
Mazao gani wana tegemea kutoka Russia?
Naona vyakula vyao vingi vinatoka South America.
Nauliza tu
 
Back
Top Bottom