Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021.
Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo alikwishaondoka madarakani.
Kwa uchungu mmoja wa makamanda aliyehusika na kizaazaa hicho amelia mbele ya waandishi wa habari na wengine wakamsaidia kulia wakati akisimulia jinsi jeshi la Marekani lilivyokimbia kwa aibu baada ya miaka mingi ya kuishikilia nchi ya Afghanistan.
<iframe width="400" height="500" frameborder="0" src=""></iframe>