Marekani walia wakikumbuka huku Taliban wakionesha magari ya kijeshi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021.

Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo alikwishaondoka madarakani.

Kwa uchungu mmoja wa makamanda aliyehusika na kizaazaa hicho amelia mbele ya waandishi wa habari na wengine wakamsaidia kulia wakati akisimulia jinsi jeshi la Marekani lilivyokimbia kwa aibu baada ya miaka mingi ya kuishikilia nchi ya Afghanistan.



<iframe width="400" height="500" frameborder="0" src=""></iframe>
 
Walishasema tayari kuwa hayo mavifaa yote ni uselessly.......hayana maana tena maana wameharibu mifumo yake yote
 
Biden ni useless leader yeye anachoweza ni kutetea ushoga na Hawa Ma transgender

Ni wakati wa wamarekeni kumridisha Trump

 
Wakate skrepa
waliyoyaonesha ni yale waliyokwisha kuyarudishia uhai wa kuingia tena kazini.Mavyuma ya kuyeyusha yaliyowachwa na wamarekani hayana idadi.
Waliokuwa wakitilia shaka kushindwa na kukimbia kwa Marekani huko Afghanistan leo wamesikia wenyewe.Kwa kamanda mzalendo inauma sana na kulia hasa akiwa na chembe za ushoga hawezi kujizuia.
 
Huo muda wa kuharibu waliutoa wapi!?
Muda haukuwepo.Mpaka ikabidi waondoke na wageni hawa wasiokuwa na mwalikoj.Au vyenginevyo wabaki waliwe nyama, Dege kubwa ambalo halihitaji uwanja kuruka likapaa nao huku vidume vyengine vikidondoka kwenye mabawa,.Ilikuwa ni mtafaruku wa hali ya juu,
 
Naweza ipata wapi video yake hii,,,naiona Aljazeera kama tangazo tu.
 
Kumbe USA hawa kuondoka kwa amani Afghan... kumbe walikimbizwa hivi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…