Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,457
Hapa siwezi kubisha maana sina habari sahihi.Maduro
Maduro Hana lake nchi imeshazungukwa ile. Tunza hii comment. Mimi nimefika Latin America hakuna raia wasiompenda Maduro kama raia wa Venezuela. Acha kusoma story google. Usione Us Military unapata chance ya kuingia Venezuela udhani hakuna support.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Wamarekani waliwekeza matrilioni yote yale katika vita vile huku wakijua kuwa hizo nchi ni failed state na kwamba hawatashinda wala kupata cho chote? Kama ni hivyo, was that smart? Au unataka kusema nini?Kuhusu Afghanistan, tembea walau kidogo uone Kwa macho yako. Afghanistan imeshakuwa ni failed state kitambo. Same to Iraq ni nchi ziko paralysed kikanda. Zina migogoro ya ndani.
Afghanistan walifuata mafuta, baada ya Taliban kuipa tenda kampuni ya Argentina na kuinyima marekani wakawatishia,hiyo ni kabla ya 2000, around 98-99Unadhani Marekani alipeleka jeshi Afghanistan Ili asipate kitu. Mwenzako alikuwa anatafuta imperial influence mashariki ya kati.
Hapo somalia sio kwamba alishindwa. Lengo ilikuwa kustabilize nchi Ambayo Hadi Sasa wanauana kama kuku.
Hapo Nigeria kinachotafutwa ni mafuta na rasilimali za Nigeria. Tinubu ameshakubali jeshi la US wamsaidie kwasababu Marekani alitumika njia ya kusema magaidi yanapata support kutoka serikalini.
In a nutshell, wenzako wanapigana vita vya mikakati. Sio vile vita vya Nyerere Uganda kwenda kichwa kichwa.
Akili huna wewe,lini waislam walisema hawana madhehebuKuna mada hapa JF walifuta ila nitapitia kwako.
Waislamu wakubari wakatae ila wasicho elewa wasiseme hawana madhehebu wanayo.
Na hayo madhehebu utumia uislamu kufanya mambo yao kwa kujifichia uislamu.
Hata leo tumeona ukisema wakristo lazima kutofautisha mkristo wa kilokole, mkristo washakaola kule kenya alichofanya,mkristo wa mwamposa,mkristo wa kibwetero.
Kama wanabisha waje
What does the money spent in Afghanistan have to do with u? Are you saying u feel more pain about it than U.S. taxpayers do? If I were to call you a fool i would actually be showing u too much respect. U’re not even worth arguing with. STPDHuwa nafurahi sana jitu likikurupuka tu kutoka huko lilikotoka bila kuelewa hoja ya msingi. Sasa ni nini kilichokupanikisha kwenye hoja yangu mpaka umekuja na matusi yasiyo na sababu. Sasa ukinipuuza wewe mi inaniathiri vipi?
Do you know the total cost of Afghanistan war? What did America gain from that war? Do you think just dropping bombs will damp Boko Haram's resolve?
100% certified fag who can't put up a coherent argument without resorting to profanities. This is pure faggotry. Good riddance! 🚮What does the money spent in Afghanistan have to do with u? Are you saying u feel more pain about it than U.S. taxpayers do? If I were to call you a fool i would actually be showing u too much respect. U’re not even worth arguing with. STPD
HATA HAPA TANZANIA KUNA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHO ONGOZWA NA SAMIA NA FAMILIA YAKE NA ROSTAM AZIZI NA WAARABU WENYE VITUO VYA MAFUTAMarekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Anasakwa? Kivipi wakati USA ndio ilimpa silaha na mafunzo ili Osama/Taliban apigane na USSR!!Afghanistan ulifahamu kilichokuwa kinaendelea ,mbona mnashida nyie.
Ni kukumbushe wakati anasakwa Gaidi osoma na kundi lake lilipata ifadhi Afghanistan na USA liomba kumkamata ila Afghanistan ilikataa ndio wakavamiwa kwa nguvu
Vijiwe vya kahawa punguza basi.Umepewa internet nayo umeshindwa kutoa tongotongo.Anasakwa? Kivipi wakati USA ndio ilimpa silaha na mafunzo ili Osama/Taliban apigane na USSR!!
Vijiwe vya kahawa punguza basi.Umepewa internet nayo umeshindwa kutoa tongotongo.
Unadhani tatizo la Nigeria litataliwa kwa namna gani?Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa!
Take that to your grave!
Hao wanaoitwa magaidi mara nyingu huwa ni vyombo vya serikali zao ili kuhadaa wananchi wakose haki zao.Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
UMetumia hisia zaidi kuliko akili,hichi ndicho kinachowasumbua kobazi.Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.
Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Jidanganye kijana hakuna asiyeogopa kifo crusade waliaminishwa ivo ivo mwisho.wao ulikuwa mbaya kwa iyo hakuna asiye ongopa kifoHakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa!
Take that to your grave!
Mnasemaga hivyo hivyo hata gaza ilivyoanza kupelekewa moto na Nyau mlikuja na kauli hizo baada ya muda mkaanza reli za Pray for Gaza.Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa!
Take that to your grave!
Hawalewi histori machawa hao,USA na Talibani walikua kitu kimoja dhidi ya USSR.Anasakwa? Kivipi wakati USA ndio ilimpa silaha na mafunzo ili Osama/Taliban apigane na USSR!!
Marekani waliifutilia mbali Al queda..ile yenyewe yakina Osama, Zawahir etc..vigogo wote wale walitekezwa.Somalia hapo unapopaongelea pametulizwa, sio wale pirates tena ....Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.
Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Kwa hiyo wewe kwa mawazo yako unawasaidiaje Wakristo wanaouawa na waislam hapo Nigeria?Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.
Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Njia hiyo hiyo ilichangia kumaliza vita na Japan; vilevile, magaidi hao ni kundi dogo sana ndani ya Nigeria, so ni swala la muda tu. Iko wapi Al Qaeda?Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.