King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Safi sana Trump.Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Unasema wamarekani ni wapumbavu na unatumia WhatsApp yao, Instagram yao, Google yao na misaada mingi ya kwao.Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.
Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Kwani asipoogopa kufa ndo hafi?Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa!
Take that to your grave!
Pole sana shehe mbona umeumia sana? Wambieni basi hao washikaji wenu waache ugaidi.Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.
Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufaPole sana shehe mbona umeumia sana? Wambieni basi hao washikaji wenu waache ugaidi.
Kawaulize Mataliban na hekaheka zao za miaka 20+ dhidi ya jeshi lenye nguvu kuliko yote duniani 😂Kwani asipoogopa kufa ndo hafi?
Kwa nini Wakristo wanakuwa wapole mpaka wanashindwa kujilinda na kujitetea wao wenyewe? Mara kwa mara wanavamiwa makanisani wanauliwa kama kondoo na watoto kutekwa kwa maelfu huko mashuleni. Kuna nini kinachowafanya wawe wanyonge na kuwa wanashambuliwa mara kwa mara bila kupambana? Tuanzie hapo kwanzaKwa hiyo wewe kwa mawazo yako unawasaidiaje Wakristo wanaouawa na waislam hapo Nigeria?
Toa mawazo yako na wewe tukusikie.
US babyMarekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Huu muongozo sio sahihi.Wanawatengeneza wenyewe, baadae wanakuja kuwaua wenyewe...
Magaidi wote ni kazi maalum za U.S.A kwa manufaa na maslahi yao...
Cc: Mahondaw
Mimi nataka tukawalize magaidi wahamas na gaza kutoogopa kwao kufa kumewazuia wasiuawe?Kawaulize Mataliban na hekaheka zao za miaka 20+ dhidi ya jeshi lenye nguvu kuliko yote duniani 😂
Katika uislam ukisikia dhehebu basi inamaanisha mtaala wa kielimu wenyewe waarabu wanaita "madh'hab". Na madhehebu ya kiislam ni ya kitaaluma ama kielimu. Ndio utasikia kuna dhehebu ya Imam Shafii ama dhehebu ya imam Ham'bal.Kuna mada hapa JF walifuta ila nitapitia kwako.
Waislamu wakubari wakatae ila wasicho elewa wasiseme hawana madhehebu wanayo.
Na hayo madhehebu utumia uislamu kufanya mambo yao kwa kujifichia uislamu.
Hata leo tumeona ukisema wakristo lazima kutofautisha mkristo wa kilokole, mkristo washakaola kule kenya alichofanya,mkristo wa mwamposa,mkristo wa kibwetero.
Kama wanabisha waje
Hamas sio magaidi.Mimi nataka tukawalize magaidi wahamas na gaza kutoogopa kwao kufa kumewazuia wasiuawe?
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Huu muongozo sio sahihi.
Magaidi wamesaidiwa kwenda kutafuna mbususu za mabikra 70 kila mmojawao. Ikiwapendeza Marekani waendelee kuwasaidia kwenda kuonana na mabikra 70.Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Mojawapo ya maislamu majinga ni wewe!Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.
Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Asiyeogopa kufa huyo ni nani. Osama bin Laden maisha yake yote ya ugaidi alikuwa mafichoni hadi alipouawa akiwa mafichoni Pakistan.Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa
Mwisho wa kunukuu!
Una kipaji kikubwa sana cha kujenga hoja. Ukikazana utafika mbali sana hapa duniani na jehanamu! 🚮Mojawapo ya maislamu majinga ni wewe!