Marekani: Watu wapatao kumi wapigwa risasi na wanne wafariki wakiwa katika Sherehe

Marekani: Watu wapatao kumi wapigwa risasi na wanne wafariki wakiwa katika Sherehe

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Watu walikuwa wamehudhuria sherehe ya kifamilia kwenye uwanja wa nyuma wa nyumba yao walivamiwa na mtu asiyejulikana aliyeanza kuwamiminia risasi. Polisi wa Mjini Fresno, Califonia wameripoti.

Polisi waliitikia wito mida ya saa mbili usiku baada ya kupokea taarifa ya tukio hilo kutoka kwa watu mbalimbali ambapo taarifa ya kwanza iliweka bayana kuwa baadhi ya watu wamepigwa risasi katika eneo hilo, alieleza Askari wa Fresno

Aidha, askari huyo ameeleza katika tukio hilo watu wanne wenye umri kuanzia miaka 25- 30 wamefariki kwa kuigwa risasi. Mtu mwingine mmoja amekimbizwa ICU kutokana na kuwa na majeraha makubwa wakati wengine watano wamepelekwa kufanyiwa matibabu ya kawaida kutokana na kupata majeraha majeraha madogo.


1574060688696.png

Zaidi soma:

The victims were attending a family and friends gathering in the backyard of a home when an unknown suspect approached and opened fire, Fresno Police Lt. Bill Dooley told reporters during a press briefing covered by CNN affiliate KSEE.

Officers responded to the home after receiving multiple calls around 8 p.m. Sunday reporting the shooting. First responders received additional calls reporting that multiple people had been shot while they were en route to the scene, according to Fresno Police Deputy Chief Michael Reid.

Reid says four people, ages 25-30, are dead after the shooting. One man was transported to Community Regional Medical Center where he succumbed to his injuries.

Five additional victims were taken to CRMC with non-life threatening gunshot wounds, Reid said.

One other man was taken to another hospital where he is being treated for a graze wound, according to Reid.

There were about 35 people at the house for a football watch party when the suspect approached on foot and opened fire, Reid said.

Reid said there is no indication that the suspect knew the victims at this point in the investigation.

"My heart goes out to the families that are victims of this senseless violence," Reid said. "We are going to do everything we can to find out who the perpetrators are and bring them to justice"

No suspect information or suspect vehicle descriptions are available, Dooley said.

Police are going door to door seeking surveillance footage and witnesses to gain information on the suspect, according to Dooley.

Chanzo: CNN
 

Attachments

  • 1574060665831.png
    1574060665831.png
    81.2 KB · Views: 1
KILA NIKIPITIA TAARIFA ZA HABARI ZA NCHI MBALIMBALI DUNIANI KUPITIA VYOMBO TOFAUTI TOFAUTI, NINAZIDISHA UMADHUBUTI WA IMANI YA KWAMBA
''TANZANIA NI KISIWA CHA AMANI''
 
"Reid said there is no indication that the suspect knew the victims at this point in the investigation"

Shida yake ilikuwa nini hasa?au gaidi
 
Back
Top Bottom