Tanzania ijiandae kunyolewa!Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani
Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi.
Hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Marekani kusitisha VISA kwa nchi nyingi ikiwemo Burundi na nchi mbali mbali barani Afrika.
Sio tu huko ambako Balozi zimefungwa kwa sababu zimefungwa pia katika nchi nyingine mfano Ethiopia na nchi nyingine nyingi.
Itakumbukwa kuwa Mabalozi wa Marekani katika nchi hizo waliitwa hivi karibuni Washington DC kwa agizo la Trump.
View attachment 3538711
Wenzetu wanaheshimu sana sheria walizojiwekea. Kumbe hili inahusiana na sheria zao ambazo huwa zinasababisha temporary government shutdown pale tarehe iliyowekwa kisheria inapopita huku muafaka wa jinsi ya kufund shughuli za serikali unapokuwa haujafikiwa. Automatically kuna huduma zisizo za emergency zinasimamishwa.US Government Showdown: Kigali Embassy Closes American Center
written by Daniel Sabiiti February 3, 2026
The U.S. Embassy in Kigali has announced the temporary closure of the American Center, effective today, February 3, 2026.
The American Center, located within the Embassy compound, has for years provided Rwandan students,, professionals and community members with access to English-language resources, educational programmes, cultural events and networking opportunities.
In a statement, the Embassy said the temporary closure is part of broader operational adjustments.
It is understood that several U.S. government-operated centres in different parts of the world have been temporarily closed, largely due to the ongoing U.S. government shutdown.
The American Center has been a cornerstone of our public diplomacy efforts in Rwanda.
“Though the facility is temporarily closing, our mission to foster mutual understanding and strengthen ties between the people of Rwanda and the United States remains unchanged,” the Embassy noted in a statement posted on it’s website.
A U.S. government shutdown occurs when funding legislation required to finance federal government operations is not enacted before the start of a new fiscal period.
For years, the American Center has provided a space where partnerships and dialogue between Rwandans and Americans could flourish.
While the physical facility will be unavailable during this period, the Embassy said it will continue its outreach and engagement through alternative platforms, including online resources and targeted programmes.
Impact on Kigali residents:
The temporary closure means the suspension of access to physical resources such as books, study spaces and in-person cultural programming.
Students and professionals who rely on the Center’s services will need to seek alternatives through local institutions and online platforms.
The Embassy also indicated it will expand its digital and virtual engagement to maintain educational and cultural outreach.
Looking ahead:
The temporary closure of the American Center marks a short-term disruption to the Embassy’s public engagement activities in Rwanda. While many Kigali residents have expressed disappointment at the pause in services, there is cautious optimism that activities will resume once operations normalise
Imeisha hiyo na wao wakimbilie UAE watasaidiwaUS Government Showdown: Kigali Embassy Closes American Center

Hawawezi fungal ubalozi kamwe.Tanzania ijiandae kunyolewa!
Kama shida ni pesa waharakishe watuuzie dhahabu yao.Wenzetu wanaheshimu sana sheria walizojiwekea. Kumbe hili inahusiana na sheria zao ambazo huwa zinasababisha temporary government shutdown pale tarehe iliyowekwa kisheria inapopita huku muafaka wa jinsi ya kufund shughuli za serikali unapokuwa haujafikiwa. Automatically kuna huduma zisizo za emergency zinasimamishwa.
'Access' gani unayoizungumzia wewe; ambayo inaweza kuwaponyoka Marekani kwa sababu tu ya kutokuwa na ubalozi wao hapa?Hawawezi fungal ubalozi kamwe.
Tanzania inafaida kubwa sana kijiografia kwa nchi za Afrika mashariki.
Ukiwa Hapa bongo unapata access ya nchi nyingi sana. Drc, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda etc.
Wenyewe wanajuwa ndio maana hawajafunga kama walivyofanya huko kwingine.'Access' gani unayoizungumzia wewe; ambayo inaweza kuwaponyoka Marekani kwa sababu tu ya kutokuwa na ubalozi wao hapa?
Sasa kama ni wao wanajuwa wewe umejuwaje?Wenyewe wanajuwa ndio maana hawajafunga kama walivyofanya huko kwingine.
Mna hela za kununua bcKama shida ni pesa waharakishe watuuzie dhahabu yao.
Acha kujidanganya, faida hizo unazijua mwenyewe. Wakiamua kufunga wanafunga tu.Hawawezi fungal ubalozi kamwe.
Tanzania inafaida kubwa sana kijiografia kwa nchi za Afrika mashariki.
Ukiwa Hapa bongo unapata access ya nchi nyingi sana. Drc, Zambia, Malawi, Burundi, Rwanda etc.
Joker of the jokes.Sasa kama ni wao wanajuwa wewe umejuwaje?
You've turned out to be such a joke!
Tuko kwa wajomba huku kuchukua mihela.Mna hela za kununua bc
Hizo riyal Zina wenyewe, labda sisi tunachoweza ambulia ni ahadi za kupunguza utapiamlo ifikapo mwaka 2028Tuko kwa wajomba huku kuchukua mihela.
Wadanganyika kaeni mkao wa kula.
Unaijua Riyal wewe?