Habari zilizoifikia Radio Mbao hapa mjini, baada ya wananchi wa Marekani kushinikiza uchunguzi huru kutoka nje, Serikali ya nchi hio imeridhia ombi hilo na kuiomba Tanzania kuisaidia kubaini ilikuwaje mtuhumiwa kumiliki silaha nyingi bila kibali ilhali mamlaka zipo.