Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO

Ajitoe tu hamna namna. Wako wanaoweza kuchangia hiyo asilimia 15 bila kulalama, salman wa saudi au Raisi wa china pekee they can! ni kama pipi kwao
 
Kuna mdau mmoja hapa tulibishana akasema trump hana ubavu mpaka senete nikamwambia haya subir uone nahis kaona matokeo
nimemsahau jina yule mwamba ila naukumbuka ule mjadala wenu ila sikutia neno sababu nilikua sijui nani alikua yupo sawa kwakipindi kile ila kwasasa nime elewa nani alikua sahihi[emoji4]
 
Trump ni rais mnyonge sana kiakili kiasi kuwa anadhani vitisho, kulaumu na kujitoa kwenye medani za kimataifa ndiyo kuonyesha ubabe. Akishajitoa katika medani kadhaa, nchi itaanza kukose influence, jambo ambalo ndilo ilikuwa silah kubwa ya Marekani. Hata hivyo urais wake bado uko hatihati sana; angalia hii kutoka RCP
 

Bado unaziamini hizo opinion polls?

Hujui mpaka siku ya uchaguzi wa 2016 Hillary a liongo za kwenye hizi opinion polls karibu zote?

Unajua hata exit polls zilionyesha kuwa Hilary kashinda kwa landslide?

Hahahahaaa.....njoo siku ya uchaguzi na poll ya ukweli ndo naweza kukusikiliza....
 
Bilgate kama namwona anavyo chekelea fursa ya kuongoza WHO tayari kwa kuanza ku install anti virus kwenye miili ya binadamu.
 

Hilary alishindwa kwa sababu hakuhamasisha watu wake kupiga kura, na wengi hawakupiga kura kwa kuamini kuwa ama atashinda tu au kwa vile alionyesha kuwachukulia for granted, huku wakiwa na=bado na hasira za Sanders kushindwa primary. Eti Hilary akaenda kupiga kampeini Arizona na Texas na kuacha kwenda Wisconsin na Michigan, na wala hakumtumia Sanders katika kampeini zake.

Ndiyo maana ushindi wa trump kwenye battleground ulikuwa ni razor thin sana kwa sababu ya democrats ambao hawakupiga kura. Sasa hivi Trump amejenga uadui mkubwa sana na watu hao ambao hawakumpigia Clinton kiasi kuwa uchaguzi ujao watajitokeza kwa wingi sana kupiga kura.

Hata kule kwenye republican kwenyewe nako amejenga uadui na sehemu fulani ya republicans ambapo kuwa republican kadhaa watapiga kura against Trump siyo for for a Challenger, na kuna republican ambao hawatapiga kura kabisa, kwa hiyo trump anabaki na ile base tu ambayo haitoshi kabisa kushinda.
 
Kwahiyo hata zile net, kwa udhamini wa USAid ndio basi tena![emoji41][emoji41][emoji41]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Hahaha fake news aka utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…