Marekani yajitoa rasmi Shirika la Afya Duniani WHO


I guess that went over your head. Ufilipino ni mfano tu, niambie ni nchi gani China alienda kutoa humanitarian aid let alone kuwa wakwanza kufika. Nchi ngapi zinakumbwa na majanga USA inaenda kutoa misaada ila china mnayoishabikia inapiga mute kama haipo vile.
 

Hakumu Mfawidhi, kwa hoja hizi ulizotoa kuhusu Urusi na China nimegundua kuna mambo mengi sana huenda hukuyasema kwa maksudi au huyafahamu kuhusu (spheres of global political and military influence). Nadhani ukipata muda fanya utafiti zaidi upate kujua dunia yetu leo inazunguka vipi.
 
Hapo kwenye "yajitoa rasmi" kuna mkanganyiko.

Trump ana mamlaka ya kuiondoa Marekani kutoka WHO lakini kwa notisi ya miezi 12 na si ghafla kiasi hicho.

Sheria zinambana kufanya hivyo kwa sasa otherwise hakukusudia "kujitoa rasmi" bali mmemnukuu vibaya.

Kisheria, bado Marekani ni mwanachama halali wa WHO kwa sasa.
 
Pigeni kazi!! Hao waacheni na mambo yao wenyewe
Usiniambie hujui madhara ya US kujitoa WHO ambae ndio Donator mkubwa wa WHO? Sasa nikuambie hizi athari zitagusa mpaka jamii yetu kuna huduma nyingi za afya ni bure kama chanjo za measles na polio,

Je, unadhani hizo research za afya zinatoka wapi, Tedro alishaonesha incompetent angekaa tu pembeni. Halafu trump si alitoa Siku 30 kwa who ili wajirekebishe haswa Hao top officials wapishe kiti sasa zimefika kweli?
 

Mimi nisingependa kuendeleza mabishano yasiyo kikomo. Lakini nitajie wapi au nchi gani palitokea majanga USA wakaenda na China ikapiga mute kama unavyodai? Halafu suala zito la global domination unataka kuliangalia kwenye dirisha moja tu la majanga (disaster response)?
 
Huyu Trump anapenda sana lawama. Wakati jjanga limeikumba china yeye hakuchukua hatua wala hakujiandaa na hakutegeme kama lingeikuta nchi yake. Alikuwa anakenua hadi waziri wake akathubutu sema kuwa ni fursa kwao ya kibiashara.

Wananchi hawanabudi kumlaumu yeye kwani naye kama raisi alilichukulia poa hakuchukua hatua stahiki hadi linafika hawakuwa na utayari wa kukaliana nalo.

Trump kila baya anataka alisukumie kwa watu, mara Chhina, mara Urusi sasa WHO.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Endeleeni kuimba taarabu kwani mnashindwa kujiendesha wenyewe mpaka mtegemee misaada

Hao waajemi wanapitia mengi mpaka wanamua kupambana nakujikwamua wenyewe bila misaada nyie mnashindwia wapi ?!

Hao walokua sio wabaguzi ndio washa waacha solemba hapo mpambane nahali zenu

Kufa tutakufa tusipokufa kwa AIDS tutakufa kwamengine

Ndio mujue kama mazungu mauaji yanapelekeshana yenyewe kwayenyewe kule VENEZUELA halafu yaje yakuthamini wewe huko KAMPALA pole sana kijana ila MHABESH mwenzangu kanifurahisha Mnoooooooooooo

Mwanzo wamwisho wa US unapitia safari nyingi mnoooo ila utafika tuuu.....
 
Hakika

Maamuzi haya yanaipunguzia sana Nguvu US kunawatu hapa ukiwaambia Turamp akili zake fupi wanajifanya hawamuoni

Yaani Turampet nirais wahovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya US na DUNIA kwaujumla...
 
Naona mnarudia tena kupiga ramli Kama 2016, sasa hivi kama hujui Trump amejipanga zaidi Kuliko 2016. Nimekuwa nikifuatilia timu yake ya kampeni nadhani mwezi wa 11 itakuwa ni massacre kwa Biden na ambavyo hawezi kuunganisha sentensi yatatokea mauaji Kwenye midahalo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unarudia wakati tumekubaliana kuwa tusubiri November? Kama kuwa na hela na za kampeini na timu kubwa ya uchaguzi ndiyo ingekuwa njia ya ushindi basi Bloomberg angekuwa ni nominee wa democrats sasa hivi, au Hilary ndiye angekuwa rais mwaka 2016.

Usi=hindi unatokana na ni wangapi watakupigia kura, si watu wanaokufanyia kazi. Niliwahi kuchukuliwa na watu wa kampeini ya chama fulani kwenda kumpigia kura mtu wao kura kwenye local politics lakini nilipofika nikampigia Msomali fulani ingawa hakushinda.
 
Hili lilitabiriwa kutokea hasa baada ya mvutano baina ya US na China kuhusu mlipuko wa COVID19.

Ngoja tuone kama China itaweza kubeba majukumu ya kuwa mchangiaji mkubwa baada ya US kujitoa.

Though tutakaoumia ni sisi Tanzania pamoja na majirani zetu manake vifaa tiba na madawa mengi hasa ya ArVs, Malaria, TB na Kifua kikuu tunapata kwao.😥
 
Jidanganye. Walikuwa wapi kutoa zamani
Ajitoe tu hamna namna. Wako wanaoweza kuchangia hiyo asilimia 15 bila kulalama, salman wa saudi au Raisi wa china pekee they can! ni kama pipi kwao
 
Kipindi cha Hillary hizo polls zilikuwa against Trump
 
Jidanganye. Walikuwa wapi kutoa zamani
Naona Muhabesh Bado Tunae pale WHO [emoji4]

niliwahakikishia kwamba MUHABESH hawez toka kwa upuuzi wa Turampet nanikawaambieni Turampet Akili ndogo sana Hasa kwenye masuala mazima ya Diplomasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…