Marekani yakiri Israeli hawezi kuishinda Hamas kwa kuvamia eneo la Rafah

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Katika hali inayoonesha kuwa ngoma hii ni ngumu Msemaji wa ikulu ya Rais wa marekani John Kirby leo ameeleza wazi kuwa kitendo cha IDF kuingia katika mji wa Rafah kitasababisha Wanamgambo wa Hamas kuwa imara zaidi na kukwamisha mazungumzo ya usitishwaji Vita huko Gaza.

Israeli imesema kuwa itapambana peke yake kama hakutakuwa na msaada wowote kutoka marekani. Israeli kwa sasa inapitia kipindi kigumu sana kutokana na Rais Biden kusema kuwa hatakua tayari kutoa silaha na mabomu mazito kwaajili ya kwenda kuuwa raia huko Rafah na marekani imebaini kuwa IDF wanaua raia huku wanamgambo wa Hamas wakiendelea kutawala.

Wanasiasa pamoja na wabunge wa marekani na mabilionea wa kiyahudi huko marekani wanaendelea kumwandikia barua Rais Joe's Biden abadili msimamo wake ili kuiondolea aibu na fedheha kubwa inayoenda kuikuta Israel.
 

Attachments

  • Screenshot_20240509_214627_X.jpg
    114.1 KB · Views: 5
Tununue magari walau una comment ukiwa ndani ya ndinga
 
Sasa kama israel hawawezi kuishinda hamas mnaomba cease fire ya nini? Si mnyamaze tuone israel ikishindwa vita
 
Sasa kama israel hawawezi kuishinda hamas mnaomba cease fire ya nini? Si mnyamaze tuone israel ikishindwa vita
Ceasefire ina masharti mzee Hamas hawalazimishi mkishindwa kukubali conditions wapo tayari vita iendelee. Kwanza nashangaa Israeli inakubali vipi kukaa meza moja na magaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…