04 March 2025
Kigali, Rwanda
Mamlaka ya Kitaifa ya Mashtaka ya Umma (NPPA) nchini Rwanda mnamo Jumanne, Machi 4, 2025 ilithibitisha kufukuzwa kwa Ahmed Napoleon Mbonyunkiza kutoka Marekani.
Mbonyunkiza, 57, alifukuzwa baada ya kutumikia kifungo cha miaka 15 jela nchini Marekani kwa makosa yanayohusiana na unyanyasaji wa kingono.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Y-W52uScpmo
Video : Kigali International Airport March 4,2025 Ahmed Mbonyunkiza akiwasili toka Marekani chini ya escort ya askari
Mnamo 2007, alihukumiwa bila kuwepo mahakamani nchini Rwanda, na Mahakama ya Nyakabanda Gacaca kwa uhusika wake katika Mauaji ya Kimbari ya 1994 dhidi ya Watutsi.
Katika taarifa, NPPA ilipongeza mamlaka za mahakama za Marekani kwa ushirikiano wao katika kuwafukuza wakimbizi waliokimbia mauaji ya halaiki na kujificha nje ya Rwanda.
"NPPA inaipongeza Marekani kwa mchango wao katika mapambano dhidi ya wanaokwepa mkono wa sheria kwa kutoroka Rwanda," ilisema taarifa hiyo.
Kufukuzwa kwa Mbonyunkiza ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kimataifa za kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wote wa mauaji ya kimbari.
Kushoto : Napoleon Ahmed Mbonyunkiza
TOKA MAKTABA:
Iowa Sex Offender Registry (.gov)
https://www.iowasexoffender.gov
NAPOLEON MBONYUNKIZA - Iowa Sex Offender Registry
Napoleon Ahmed Mbonyunkiza is a convicted sex offender. Napoleon resides at Polk Co Jail, Ice Hold, Des Moines, Iowa, 50313.
Kigali, Rwanda
Marekani yamfukuza mfungwa wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda Ahmed Napoleon Mbonyunkiza
2025-03-04Mamlaka ya Kitaifa ya Mashtaka ya Umma (NPPA) nchini Rwanda mnamo Jumanne, Machi 4, 2025 ilithibitisha kufukuzwa kwa Ahmed Napoleon Mbonyunkiza kutoka Marekani.