Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.