Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
JUBA, Sudan Kusini
SERIKALI ya Marekani imeonya kuwa italazimika kuutazama upya uhusiano wake na serikali ya Sudan Kusini baada ya viongozi wa Sudan Kusini kushindwa kuendeleza mchakato wa amani.
Tamko hilo limekuja baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na Kiongozi wa upinzani Dkt. Riek Machar kushindwa kufufua mpango wa kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa kama ilivyopangwa Novemba 12.
Kutokuwa na uwezo wao wa kufikia maandamano hii ya msingi wa nia ya kisiasa kwa ajili ya watu wa Sudan Kusini wito katika swali uwepo wao wa kuendelea kuongoza taifa mchakato wa kutafuta amani.” Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani aliendelea.
“Kushindwa kwao katika kufikia suala hili la msingi kwa ajili ya wananchi wa Sudan Kusini kunapelekea maswali ya uwepo wao wa kuendelea kuliongoza taifa hilo katika mchakato wa amani,” alieleza Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani.
Kwa mujibu wa Waziri huyo , Michael R. Pompeo, Marekani ipo tayari kufanyakazi pamoja kutafuta njia mpya ya kufikia amani na mpito kamili wa kisiasa Sudan Kusini na itaendelea kuwa pamoja na wananchi wa Sudan Kusini katika kpindi hichi kigumu.
Wakati Marekani imepitisha marufuku ya silaha na kuwatimua wanasiasa na majenerali wa kijeshi , Sudan Kusini inaendelea kutafuta chaguo jengine ikiwa ni pamoja na kufanyakazi na viongozi wa kikanda, Urusi n China kukwepa sera na hatua za Wamarekani.