Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa.
Shambulia hilo la Marekani maeneo ya Al-Azraqeen kama ilivyothibitishwa na televisheni ya Houth ya ALmasira ni baada ya meli ya Marekni ya kivita kurushiwa makombora bila hofu wala kuionea haya.Meli iliyoshambuliwa ni ile inayobeba ndege za kivita ambayo inakuwa ndio kiongozi wa meli ndogo ndogo zinazoamatana nazo.
Ikumbukwe vita kati ya Houth na washirika wa Marekani ambao sasa wamebaki watatu vimeanza takriban mwaka mmoja na zaidi tangu pale Israel ilipoivamia Gaza.