Marekani Yarudisha Misaada na Usaidizi wa Intelijensia Kwa Ukraine

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Serikali ya Marekani imerudisha tena usaidizi wake kwa Ukraine baada ya Ukraine kukubaliana na Marekani juu ya mpango wa usitishaji vita kwa siku 30.

Mara baada ya uamuzi huo, misaada mbalimbali ilianza kuingia kwa kupitia Poland.

Kwa upande wa Urusi, imeshindwa kutamka lolote kuhusiana na pendekezo la kusitisha vita kwa siku 30. Lakini hapo awali, Urusi iligomea pendekezo la kusitisha vita kwa siku 30, ikidai kuwa kipindi hicho Ukraine itakitumia kuingiza silaha.

Habari kamili toka Aljezeera hii hapa:

Russia-Ukraine updates: US lifts aid pause as Kyiv backs 30-day ceasefire.​

  • Officials from Ukraine and the United States have announced a potential deal that would pause the fighting against Russia for 30 days, which will be presented to Moscow for approval.
  • The US has said it will restore aid and intelligence sharing with Ukraine, after both were severed in the aftermath of tensions between President Volodymyr Zelenskyy and his US counterpart Donald Trump.
  • The breakthrough came after negotiations unfolded between senior officials from both countries in Jeddah, Saudi Arabia
Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said on Telegram that the ceasefire proposal would “establish a complete ceasefire for 30 days, not only regarding missiles, drones and bombs, not only in the Black Sea, but also along the entire front line”.

US President Donald Trump said he hoped Russia would agree to the ceasefire plan, signalling that the US will hold a meeting with Russia later on Tuesday or Wednesday.

Following the progress made in talks, the US said that it would “immediately lift the pause on intelligence sharing and resume security assistance” to Kyiv, which it had suspended last week, effectively hobbling Ukraine’s ability to track Russian troop movements, shield against missile strikes and carry out attacks.
  • European leaders hailed the announcement as a “breakthrough” that could help bring Russia’s war in Ukraine to a close.
  • Russia, however, has previously warned it would not accept a temporary ceasefire, saying it would allow Ukraine to rearm.
 
Hapa nahisi Kuna namna USA anamuuza UKRAINE Kwa Russia.

Kumbuka pindi USA anastopisha movement ya silaha zote Ukraine, ndo kipindi RUSSIA walivunja madaraja yote yanayoizunguka Kursk region. (Lengo apa ilikua Ni kukata supply route zote Kwa wanajesh WA Ukraine,hasa kutoka EU)

Baadae kdg tukaskia USA ana mpango WA kuzima starlink satellite ilokua ikitumiwa na Ukraine kwny eneo walilodhibiti kule Kursk (bargaining chip YA UKRAINE)

Ndo kipindi icho ICHO RUSSIA wanajeshi wake zaidi ya 600 walicraw kwenye Bomba la gesi (km 15) Kimya kimya na kuingia ndani ya Kursk.

Starlink ikiwa tyr imeshazimwa, USA pia anatangaza kua anasitisha kushea intelligence zake zote na Ukraine Kwa Sababu ya utovu WA nidhamu wa zelensky, hii (intelligence blackout) inawapa nafas Russia kuwazunguka kirahisi Ukraine eneo lote la Kursk bila wao kujua maana satellite zote hazioni kitu.

Ukraine Wakiwa hawajajiandaa,Wanapewa surprise attack na kujikuta wanashambuliwa kutoka Kila pembe ya Kursk na Hawana pa kutokea maana washazungukwa Kila kona.

Leo baada ya Kursk kuanguka, eti USA anatoka hadharani anasema amerejesha starlink, intelligence sharing pamoja na weapon supply

HII VITA KIUHALISIA, USA anamuuza UKRAINE maksudi ili ashindwe vita,anyooshe mikono na vita iishe.

Nahisi kulikuwepo makubaliano ya Siri Kati ya Russia na USA khs namna ya kulikomboa Jimbo la Kursk.
 
Mambo sio rahisi kihivyo
 
Mtego umerudi kwa Russia sasa
USA ni hatari sana. Kama Ukrain kakubali madini yaende, USA haoni hatari kumuingiza chaka URUSI. Hapa Urusi ana kazi kwa kweli ikiwa USA amepata anachokitaka kutoka Ukrain
 
Hapa nahisi Kuna namna USA anamuuza UKRAINE Kwa Russia.

Kumbuka pindi USA anastopisha movement ya silaha zote Ukraine, ndo kipindi RUSSIA walivunja madaraja yote yanayoizunguka Kursk region. (Lengo apa ilikua Ni kukata supply route zote Kwa wanajesh WA Ukraine,hasa kutoka EU)

Baadae kdg tukaskia USA ana mpango WA kuzima starlink satellite ilokua ikitumiwa na Ukraine kwny eneo walilodhibiti kule Kursk (bargaining chip YA UKRAINE)

Ndo kipindi icho ICHO RUSSIA wanajeshi wake zaidi ya 600 walicraw kwenye Bomba la gesi (km 15) Kimya kimya na kuingia ndani ya Kursk.

Starlink ikiwa tyr imeshazimwa, USA pia anatangaza kua anasitisha kushea intelligence zake zote na Ukraine Kwa Sababu ya utovu WA nidhamu wa zelensky, hii (intelligence blackout) inawapa nafas Russia kuwazunguka kirahisi Ukraine eneo lote la Kursk bila wao kujua maana satellite zote hazioni kitu.

Ukraine Wakiwa hawajajiandaa,Wanapewa surprise attack na kujikuta wanashambuliwa kutoka Kila pembe ya Kursk na Hawana pa kutokea maana washazungukwa Kila kona.

Leo baada ya Kursk kuanguka, eti USA anatoka hadharani anasema amerejesha starlink, intelligence sharing pamoja na weapon supply

HII VITA KIUHALISIA, USA anamuuza UKRAINE maksudi ili ashindwe vita,anyooshe mikono na vita iishe.

Nahisi kulikuwepo makubaliano ya Siri Kati ya Russia na USA khs namna ya kulikomboa Jimbo la Kursk.
Makubaliano ya siri sio? Mkuu hii pipe operation sio mara ya kwanza kufanyika, ilifanyika avdiivka na sehemu ingine.. imefanyika mara mbili hapo awali, je kipindi hiki satellites za NATO zilikua zimezimwa?

Hata kama satellites zingekua ziko ON zisingeweza detect movement za pipe operatiom ya kurks!

NB: Special forces za Urusi zimeendelea kuonyesha maajabu duniani! Pipe operations itaendelea kubaki kama the most legendary special ops vitani na zitasomwa na miaka na miaka katika academy za wanajeshi duniani!
 
Back
Top Bottom