real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
Balozi wa Marekani nchini Kenya Robert Godec amesisitiza kuwapo kwa mazungumzo ya haraka na ya wazi kati Raila Odinga na Uhuru Kenyataa ili kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini humo
Kwenye taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo, Godec amesema Marekani imesikitishwa sana na vurugu zilizotokea nchini humo baada ya uchaguzi wa tarehe 26 Oktoba na kuwataka viongozi hao kutamka hadharani kuwa hawataki vurugu na wanataka amani itunzwe
Pia amesikitishwa na vyombo vya dola kutumia nguvu nyingi dhidi ya wananchi waliopinga kufanyika kwa uchaguzi huo
Na pia amewataka wakenya kukataa siasa za uchuki na za kuwagawanya
===========================================================
U.S Ambassador to Kenya Robert Godec has called for “immediate, sustained and transparent national dialogue to resolve the ongoing political impasse.
In a statement sent to newsrooms on Monday, Godec says that the U.S is concerned with the violence experienced in the country following the October 26 election and wants leaders to publicly reject violence and keep peace.
“The United States is profoundly concerned by the outbreaks of violence in Kenya following the October 26 election. Leaders and politicians should clearly and publicly reject violence and work to keep the peace and make every effort to ensure the supporters do so as well,” read part of the statement.
Godec has pointed a finger at the security services saying they need to minimise the use of force and “only use it when there is no other choice to protect life and property” adding that protesters should exercise their rights peacefully.
“We are deeply concerned by reports of excessive use of force by the police; we urge that all such allegations be fully investigated and any officer who have acted outside the law be held to account,” added Godec.
He called upon Kenyans to reject the politics of hatred and division.
Source: Citizen Tv