Marekani yatishia Vikwazo dhidi ya Uganda, Baada ya Bunge kupita kwa Muswada Dhidi ya Ushoga kupita

Marekani yatishia Vikwazo dhidi ya Uganda, Baada ya Bunge kupita kwa Muswada Dhidi ya Ushoga kupita

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Marekani imeionya #Uganda kubadili mawazo ya kupitisha muswada mpya wa kukabiliana na vitendo vya ushoga, na iwapo itakaidi wanaweza kakabiliwa na vikwazo mbalimbali

Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa Marekani, John Kirby amewaambia Waandishi wa Habari kuwa wanafuatilia swala hilo kwa ukaribu na wataangalia hatua za kuchukua dhidi ya Uganda ikiwezekana hata vikwazo vya Kiuchumi ikiwa Sheria hiyo itasainiwa na Rais

Aidha Umoja wa Ulaya (#EU) umeelezea wasiwasi mkubwa kuhusu muswada huo na kudai kuwa kuharamishwa kwa ushoga ni kinyume na Sheria za Kimataifa za Haki za Binadamu

.......

White House warns Uganda of sanctions over anti-gay bill

There were cheers and applause in parliament when the bill was passedImage caption: There were cheers and applause in parliament when the bill was passed

The White House has warned Uganda of possible economic "repercussions" if a new bill to crack down on homosexual activities become law.

"We would have to take a look at whether or not there might be repercussions that we would have to take, perhaps in an economic way, should this law actually get passed and enacted," National Security Council spokesman John Kirby told journalists on Wednesday

"So, we’ll have to take a look. No decisions. We’re watching this very, very closely. And hopefully, it won’t pass and we won’t have to do anything."

The bill proposes life sentences for people who identify as gay in Uganda. It also includes the death penalty in certain cases.

It is awaiting a presidential assent before becoming law.

The European Union has also expressed deep concern about the anti-homosexuality bill.

In a statement, it said the criminalisation of homosexuality is contrary to international human rights law.

“The European Union will continue engaging with the Ugandan authorities and civil society to ensure that all individuals, regardless of their sexual orientation and gender identity, are treated equally, with dignity and respect,” it said.

Source: Reuters
 
Hivyo ni vitisho tu vikwazo haviwezi kuathiri uganda pia kumbuka US inahitaji uganda pale Somalia sio rahisi kumwekea vikwazo haraka.
 
US na wenzake ni wapumbavu sana. Kama wanazijua haki za binadamu then wangeziwekea vikwazo inchi zote za kiafrika kwa kutokujenga barabara, kutokuwawajibisha viongozi wala rushwa wanaokwamisha juhudi za maendeleo ya mataifa yao, kudhoofu kwa huduma za kijamii kama elimu na afya na kadhalika. Maana hizi ndizo haki za wanadamu na bila hizo hawawezi fanya maisha.

Sasa unatoa tamko na kuweka vikwazo vya mikwara kwa jambo ambalo jamii husika inaona wazi kuwa litakuwa na madhara kwa jamii yao na kuwarudisha nyuma.
 
Mambo mengine yanaathiriwa na the so called demokrasia ambayo nchi zetu zinajifanya zinalilia.

Uamuzi huu wa kupinga ushoga ulitakiwa ufanywe kimyakimya na utekelezaji wake uwe wa kimyakimya.

Kwa kigezo cha demokrasia, tunalazimika kufanya vikao na kupayuka hadi maadui zetu wanatusikia.
 
Democracy ni illusion (danganya toto) tu ila kiuhalisia wala hakuna kabisa kitu kama hicho hapa duniani.

Wale wanaowaita Marais wa Russia - Putin, Korea Kaskazini - Kim Jong, Iran - Ebrahim, na China - Xi Jimping ni madikteta ndiyo wenyewe madikteta halisi kabisa isipokuwa wame-brainwash (pumbaza) vichwa vyetu Waafrika kuwa wao si madikteta kwa misaada ya kinafki ya ARV, neti, kondomu, na pesa za bajeti kuu za Serikali wakati huo huo wanachota 3/4 ya rasilimali zetu na kufanya biashara juu ya miili yetu kwa uenezaji wa UKIMWI, kansa, malaria n.k na kutuuzia dawa za matibabu.

Africa tutaendelea kutawaliwa miaka hata trillioni ijayo sababu tunasalitiana sisi kwa sisi kwa tamaa za matumbo yetu bila ya kuangalia athari zitazokumba kizazi chetu cha leo na kesho.

Eti Uganda ni nchi huru, ina uhuru gani ikiwa hata namna ya kuishi kwa mila na desturi zao wanapangiwa?

Rasilimali zetu lakini kwanini bei ya kuuza tunapangiwa?

Kweli duniani ni uwanja wa fujo.
 
Hakuna mwananchi wa kawaida afrika ananufaika na msaada labda makombo ya msaada, watakaoathirika na kusitishwa kwa misaada ni watawala na sio watawaliwa.
 
Duuh mbona hawa watu wanapiganiwa hivi asee kuna nini nyuma ya hili jambo la kishenzi...😥
 
Unatakiwa kulala ili uote ndoto za kiamerika shida wanatukuta hatulali.
#UShoga Big NO
 
Hao USA nao chenga Sana, unaposema Haki za binadamu wanatasfiri nini.
Haki za binadamu ni pamoja na kulindwa kwa maadili ya jamii. Maana hata hao watu wanayo haki ya kulinda maadili yao, SAsa unapowalazimisha waadili maadili yao huko si ni kuingilia UHURU na haki za binadamu pia.
Wao wakapambane na Mrusi na sio kuwalazimisha watu wafuate wasiyotaka huko ni kuvunja haki za binadamu pia.
Mashoga Hakuna mwenye shida na matendo yao sirini huko bali public
 
Duuh mbona hawa watu wanapiganiwa hivi asee kuna nini nyuma ya hili jambo la kishenzi...[emoji26]
LENGO KUU NI KUPUNGUZA WATU DUNIANI KWA KUTOZALIANA KWA;

1. Uzazi wa mpango ili kupunguza idadi ya ngozi nyeusi itawaliwe vizuri, Watu wakashtuka maana madhara yake yashakuwa mengi sana ikiwa ni;

A: K kuwa za baridi, kuwa na maji mengi na misuli ya kizazi kulegea sana.

B: Ke & Me kutokuwa na ashki za kujamiiana kwa muda mrefu tokana na athari "A".

Watu wakaamua kutumia njia za asili na kuendelea kufyatua Watoto vizuri tu.

2. Kansa za vizazi.

3. Vyakula vya kipumbavu vinavyosababisha homone imbalance hatimaye matatizo ya uzazi yamekuwa mengi sana pia Me kukosa nguvu za kiume hadi kuhangaika na vumbi la Kongo na Viagra ambazo huaribu kabisa urijali wa Me.

4. "HAKI SAWA" iliyopoteza uongozi wa Me katika mahusiano ili Me wasihangaike kabisa na Ke, Me wakaamua kuongeza tu idadi ya single mothers mitaani na kuvunjika kwa ndoa kila siku.

5. Umoja wa kishetani LGBTQIA ambao unapunguza idadi ya Watu kuzaliana sababu ya mahusiano ya jinsi 1 (Ke kwa Ke, na Me kwa Me).

Kiukweli wale wanaosoma Maandiko Matakatifu watakuwa washajua tuko nyakati zipi kimaisha katika dunia yetu hii sasa hivi.

Mungu tuwezeshe hekima tele tuepukane na huu ushetani, Amina.
 
USA nao vituko kweli, unataka kuwalazimisha watu utamaduni usio wao. Ni SAwa na kuwalazimisha mbuzi wacheze muziki wakati sio utamaduni wao.

Wapi wamelazimisha,hata haki za binadamu hielewi,hao mashoga lini walikamata watu wakawalazimisha wawe mashoga,hivi shoga likitinduliwa mtaro wake wewe inakuuma nini hasa,hayo maadili unayoyatetea wewe unayo??
 
Democracy ni illusion (danganya toto) tu ila kiuhalisia wala hakuna kabisa kitu kama hicho hapa duniani.

Wale wanaowaita Marais wa Russia - Putin, Korea Kaskazini - Kim Jong, Iran - Ebrahim, na China - Xi Jimping ni madikteta ndiyo wenyewe madikteta halisi kabisa isipokuwa wame-brainwash (pumbaza) vichwa vyetu Waafrika kuwa wao si madikteta kwa misaada ya kinafki ya ARV, neti, Kondom, na pesa za bajeti kuu za Serikali wakati huo huo wanachota 3/4 ya rasilimali zetu na kufanya biashara juu ya miili yetu kwa uenezaji wa UKIMWI, kansa, malaria n.k na kutuuzia dawa za matibabu.

Africa tutaendelea kutawaliwa miaka hata trillioni ijayo sababu tunasalitiana sisi kwa sisi kwa tamaa za matumbo yetu bila ya kuangalia athari zitazokumba kizazi cha leo na kesho.

Eti Uganda ni nchi huru, ina uhuru gani ikiwa hata namna ya kuishi kwa mila na desturi zao wanapangiwa?

Rasilimali zetu lakini kwanini bei ya kuuza tunapangiwa?

Kweli duniani ni uwanja wa fujo.
Lazima mpangiwe nchi masikini
 
Wapi wamelazimisha,hata haki za binadamu hielewi,hao mashoga lini walikamata watu wakawalazimisha wawe mashoga,hivi shoga likitinduliwa mtaro wake wewe inakuuma nini hasa,hayo maadili unayoyatetea wewe unayo??
Kenge kama wewe Ndio sababu waafrika hatutochomoka kwenye mtego haram wa madhalimu.Miafrika sisi dah[emoji24]
 
Wapi wamelazimisha,hata haki za binadamu hielewi,hao mashoga lini walikamata watu wakawalazimisha wawe mashoga,hivi shoga likitinduliwa mtaro wake wewe inakuuma nini hasa,hayo maadili unayoyatetea wewe unayo??
Soma KWA utulivu uelewe Hakuna kitu kina itwa haki za binadamu KILA mtu anayo haki kwa mujibu wa tafsiri yake.
Hata mkulima wa bangi mvutaji kumzuia ni kumyima haki yake,hata muuaji kumkamata ni kumyima haki yake ya kutokuua
 
Back
Top Bottom