Marekani yatoa tahadhari kwa raia wake kuhusu Zanzibar travel

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109
Wizara ya mambo ya nje ya marekani imewaonya raia wake kutotembelea Zanzibar kutokana na vurugu za uandikishaji wapiga kura. Je tahadhari hii ina athari gani kwa demokrasia ya Tanzania na uchumi wa Zanzibar kwenye upande wa utalii.


Source: http://www.travel.state.gov/travel/cis_pa_tw/pa/pa_2689.html
 
Government is worried, why not kama hakuna amani!? Zingatia kwamba mazingira ya kwao na kwetu tofauti, kama we unaona kuna amani kwao bado wanamashaka...

B.
 
Government is worried, why not kama hakuna amani!? Zingatia kwamba mazingira ya kwao na kwetu tofauti, kama we unaona kuna amani kwao bado wanamashaka...

B.
hiyo ndo faida ya fujo, na kisiwa chao kinachotegemea utalii watajikuta wanakula mawe siku moja kama hawatajifunza. hata mimi napenda wasiende kabisa, kwasababu wanaweza kudhurika na fujo hizo za hawa watu wenye msimamo mkali kwa mambo hata yasiyo na maana.
 
Mambo ya utalii sio ya muungano yakhe. Hacha waipatepate kwa kukosa forex maana waliwaadaha sana CUF na changa la macho la muafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…