Marekani yatoa tahadhari ya usafiri Kenya kufuatia ongezeko la maambukizi ya Corona

Marekani yatoa tahadhari ya usafiri Kenya kufuatia ongezeko la maambukizi ya Corona

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wale walio jifanya kujipendekeza kwa wazungu.

=======

Marekani imetoa tahadhari dhidi ya usafiri wa Kenya baada ya idadi ya maambukizi ya corona kuongezeka nchini humo.

Taarifa katika tovuti ya ubalozi wa Marekani nchini Kenya umesema serikali ya Kenya imeondoa marufuku ya kukaa nyumbani na kurejesha usafiri na baadhi ya shughuli za kibiashara.

Kwa mujibu wa kituo cha kudhibiti magonjwa-CDC, inaonekana kuwa kuna kiwango kikubwa cha maambukizi kwa wasafiri na hakuna angalizo la kupunguza tatizo hizo. Wakati huohuo Kenya imetangaza kuwa sekta ya utalii imepoteza mabilioni ya dola katika pato la taifa kuanzia Januari mpaka sasa kutokana na mlipuko wa virusi vya corona.

Mataifa mengine ya Afrika ambayo yako kwenye kiwango cha hatari ya maambukizi ni pamoja na Rwanda, Tanzania, Sudan Kusini, Ethiopia, Djibouti, Uganda, Afrika Kusini, Zambia, Zimbabwe na nyinginezo.

Aidha watu zaidi ya watu milioni mbili wamepoteza ajira zao katika sekta hiyo nchini Kenya na mamlaka inakadiria kuwa hali inaweza kurudi kama awali mwanzoni mwa mwaka 2023.

Wakati nchi hiyo ikipunguza masharti dhidi ya marufuku ya kutoka nje.Bingwa wa Olimpiki mbio za marathon Eliud amechaguliwa kuwa balozi wa utalii Kenya wakati taifa hilo likiangalia mianya ya kurejesha utalii wa kimataifa.

Chanzo: BBC Swahili
 
Kwa Tanzania sishangai hizo tahadhari maana walianza kuzitoa kitambo na huwa hatuwashobokei lakini kwa hizo nchi zinazo walamba miguu wazungu pamoja na kuwashobokea inashangaza mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani kujipendekeza kote kwa kucopy na kupaste bado mnalimwa tahadhari!
 
Taarifa za mabeberu,huwa zakinafiki .mbona hatufi na Hilo coloni jipya ,Mungu amechoka na dhuruma zao.Acha ageuze side B na sisi tuwe observers
 
Kuna kipindi Kenya ilikua inaongelea habari za Corona za Tanzania kuliko nchini mwao yaani media zao zote zilikuwa na debates kuhusu Corona Tanzania.

Kwa sasa Tanzania ingetakiwa iwe concerned sana kuhusu muingiliano wetu na Kenya hasa ukizingatia Kenya ndio Wuhan kwa sasa, ila hutoona Tanzania ikigusia hata kwa bahati mbaya Corona Kenya.

Huu ndio utofauti wa Tanzania na Kenya.
 
Kuna kipindi Kenya ilikua inaongelea habari za Corona za Tanzania kuliko nchini mwao yaani media zao zote zilikuwa na debates kuhusu Corona Tanzania,

Kwa sasa Tanzania ingetakiwa iwe concerned sana kuhusu muingiliano wetu na Kenya hasa ukizingatia Kenya ndio Wuhan kwa sasa, ila hutoona Tanzania ikigusia hata kwa bahati mbaya Corona Kenya

Huu ndio utofauti wa Tanzania na Kenya
Kenya eixsted even before the blacks got dumped in America after banishing slave trade. Wao sio sucrose
 
Kuna kipindi Kenya ilikua inaongelea habari za Corona za Tanzania kuliko nchini mwao yaani media zao zote zilikuwa na debates kuhusu Corona Tanzania,

Kwa sasa Tanzania ingetakiwa iwe concerned sana kuhusu muingiliano wetu na Kenya hasa ukizingatia Kenya ndio Wuhan kwa sasa, ila hutoona Tanzania ikigusia hata kwa bahati mbaya Corona Kenya

Huu ndio utofauti wa Tanzania na Kenya
Hii ndio maana halisi ya watu wenye roho mbaya, chuki na wivu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi Kenya ilikua inaongelea habari za Corona za Tanzania kuliko nchini mwao yaani media zao zote zilikuwa na debates kuhusu Corona Tanzania,

Kwa sasa Tanzania ingetakiwa iwe concerned sana kuhusu muingiliano wetu na Kenya hasa ukizingatia Kenya ndio Wuhan kwa sasa, ila hutoona Tanzania ikigusia hata kwa bahati mbaya Corona Kenya

Huu ndio utofauti wa Tanzania na Kenya
Kenya is an accidental neighbour who has the accidental history.
 
Back
Top Bottom