Mataifa ya hivyo ndo yapi. Si ajabu mataifa ya hivyo uyasemayo nyie huko ist Afrika mkawa hamuwafikii kiuchumi hata robo ya chumi zao
Wewe unaijua North Korea. North Koreani nchi ya hovyo sana. Maisha yao huenda ni mabaya kuliko jehanamu!!
Wastani wa mshahara kwa north Korea ni kati ya dola 1 na dola 3 kwa mwezi. Hakuna nchi ya namna hiyo nyingine Duniani.
What is the salary in North Korea?
Official Salaries and Real Value
Official salaries in North Korea are very low, typically ranging
between 5,000 and 10,000 won per month (equivalent to $1-$3). These salaries are insufficient to meet basic needs, forcing most citizens to rely on the informal market for essential goods.
Sisi pamoja na umaskini wetu, lakini tunawazidi GDP mpaka GDP per capita:
North Korea vs Tanzania: Economic Indicators Comparison
Tanzania with a GDP of $58B ranked the 80th largest economy in the world, while North Korea ranked 89th with $43.3B. By GDP 5-years average growth and GDP per capita, Tanzania and North Korea ranked 18th vs 172nd.