Walikuwa wanamzodoa biden kuwa yeye alishindwa kazi na wao ndo wanaweza nimisikia marco rubio akijitamba kuwa lazima malengo yatimie walidhani kuwa wa huthi ni wanyonge .. trump alijua mambo yatakuwa ni marais mara vita ya ukrain mara wa huth ataondoka madarakan wahuth wwkiwa hapo na vita ya ukrain ikiwa inaendeleaVita vinavyoendelea mashariki ya kati kwenye nchi mbali mbali vinazidi kuwa tata.
Marekani wiki mbili zilizopita iliamua kushambulia maeneo ya Yemen baada ya tishio la Houth kuwa wangerudi kushambulia meli na maeneo ya Israel baada ya Israel kuvunja makubaliano ya kusitisha vita.
Mashambulizi yaliyofanywa kwa Houth kwa vigezo vya Marekani yenyewe ni makali sana (Hell).
Hasara kubwa zimepatika kwa Houth cha kushangaza hawajarudi nyuma katika kurusha makombora yao ndani ya Israel na kuzilenga meli za vita za Marekani.
Hatimae Marekani hapo jana imewaambia Houth kama hamtaki tuwapige basi na nyinyi muache kutupiga.
Wachambuzi wa vita na nguvu za kijeshi wamesema mashambulizi yanayofanywa na Marekani yanagharimu kiasi kikubwa cha fedha za kimarekani ilhali majibu ya Houth hufanywa kwa kutumia silaha hafifu na za thamani ndogo ambazo nazo zina madhara pale zinapotua.
Trump kachanganyikiwa sana.Wanasema hata wafuasi wake wa maga hawamuelewiWalikuwa wanamzodoa biden kuwa yeye alishindwa kazi na wao ndo wanaweza nimisikia marco rubio akijitamba kuwa lazima malengo yatimie walidhani kuwa wa huthi ni wanyonge .. trump alijua mambo yatakuwa ni marais mara vita ya ukrain mara wa huth ataondoka madarakan wahuth wwkiwa hapo na vita ya ukrain ikiwa inaendelea
Acha wivu wa like Binti, zimgekosa shabaha unadhani marekani.angehamisha melivita zake???Hao magaidi wa Yemen silaha zao zinadakwa na zingine kukosa shabaha na kutua kwenye maeneo ya wazi. Hawana lolote hao magaidi.
Hao magaidi wa Yemen silaha zao zinadakwa na zingine kukosa shabaha na kutua kwenye maeneo ya wazi. Hawana lolote hao magaidi.
Meli nyengine ya vita imeletwa kuchukua nafasi yake.Ya mwanzo habari zake hazitangazwi tena iko wapiFreedom fighters wa Yemen wamepiga dege la mitambo ya kuongozea manowari la H. Truman. Kwa sasa hilo Manowari ni kama pantoni la Azam tu.
Bonge la Hasara
Trump na Netanyahu kwa kibri chao hawawezi kuacha.Basi wasipigane na waache vita
Mwisho wa siku wanaoumia ni watu wasiyo na hatia, wasiojua hata kushika bundukiTrump na Netanyahu kwa kibri chao hawawezi kuacha.
Si umeona Houth walikaa kimya wakati wa makubaliano ya kusitisha vita.Lakini Marekani na Israel wakawa wanaendeleza kama hakukuwa na makubaliano yoyote
Weraweraaaa nimefurahi sana kama vipi wapelekewe nyavu wavue UDUVIFreedom fighters wa Yemen wamepiga dege la mitambo ya kuongozea manowari la H. Truman. Kwa sasa hilo Manowari ni kama pantoni la Azam tu.
Bonge la Hasara
Mauaji ya wananchi wasio na hatia huko Gaza yanasikitishaWanaoumizwa bure kwa malengo yasiyojulikana kwani wenyewe wametulia tu.