Kyamkwikwi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 441
- 146
In short kama ulifuatilia Al Jazeera JANA ilipowahoji wafuasi wa makundi mawili makubwa kila kundi (Pro- Jubilee Alliance & Pro- CORD) lilisema kama the supreme court itaamua "vizuri" watakubaliana na matokeo, sasa kama kila kundi msimamo wake ni huo ina maana kama kundi husika (JUBILEE OR CORD) litashinda the opposite will go to street and vice versa!! In that regard lazima wamarekani wawaonye raia wao maana Intelijensia yao na serikali yao wako makini kuwalinda raia wao!Sababu ya msingi ni eti kuepuka vurugu zinazoweza kutokea baada ya mahakama kutoa hukumu ya kesi ya uchaguzi siku ya J,mosi.
Ina maana Marekani tayari wanayajua matokeo ya hiyo kesi au wamehisi nini?
Sababu ya msingi ni eti kuepuka vurugu zinazoweza kutokea baada ya mahakama kutoa hukumu ya kesi ya uchaguzi siku ya J,mosi.
Ina maana Marekani tayari wanayajua matokeo ya hiyo kesi au wamehisi nini?